Recent content by samrey

  1. samrey

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Hata lowasa naye aturudishie mabilioni ya Richmond aliyochukua Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  2. samrey

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Watanzania ndo tunayo mamulaka ya nani tumchague awe raisi wetu wa awamu ya tano. So hakuna wakutulazimisha kumchagua lowassa au Magufuli. Ss ndo tunajua. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  3. samrey

    Chelsea hakuna mpira pale ila kuna Mourinho

    Kaa na akili zako hapo hapo. Chelsea taifa jingine lile. Kaeni na van mabua wenu.
  4. samrey

    Picha: Si vibaya kwa viongozi wetu kujifunza kwa Ethiopia na Kagame

    Hatuezi endelea coz kila kiongozi yupo kimaslahi zaidi
  5. samrey

    Alichosema Pengo kuhusu kura ya maoni

    Lakini mbona kwenye lile tamko hawajawataja ambao walipingana na tamko? Pia tuleteeni hyo document ambayo inaonyesha saini ya pengo kukubaliana na tamko la TEC......
  6. samrey

    Alichosema Pengo kuhusu kura ya maoni

    Huo ni mcmamo wake na ule ni mcmamo wa TEC. Sasa mbona mnamzonga? Muulizen gwajima atawambia kilichomkuta.
  7. samrey

    CHADEMA Kigoma kaskazini wamefanya yao

    Tuwekee picha bhanaaa
  8. samrey

    Tamko la mali na madeni ya Zitto Kabwe wa chama cha ACT Wazalendo

    Jamanii kama nyie mnajua mali zake zngne wekeni ukweli hapa. Nyie vipi bhanaaaaaaaaaa
  9. samrey

    Hii ndiyo Mahakama ya Kadhi inayodaiwa

    Serikali haina dini kikatiba ila serikali ya awamu ya nne ina dini.Watu hamjui tu. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  10. samrey

    Tundu Lissu VS Zitto Kabwe, nani zaidi katika siasa za kibunge?

    Tundu lisu ndo kiboko ya zitto Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  11. samrey

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Kumkana kivipi? Wakati mzazi ndo kamkataa jamaniiiiii????
  12. samrey

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Edward Franz Mwalongo Njombe kusini
  13. samrey

    WanaCCM Arusha, hii ni dharau kwa Katibu Mkuu (Kinana)

    Tushamchoka kazi yake kuzurura na kuwasema wanzake vby akome
  14. samrey

    IMF: Uchumi wa Tanzania upo juu kwa asilimia 30 tofauti na ilivyodhaniwa awali

    Huo uchumi unakuaje wakati wananchi bado tunataabika na ugumu wa maisha?
  15. samrey

    KKKT : Maaskofu hatujagawanyika kuhusu Katiba

    Daaaah huyo askofu noma sana bonge la kichwa
Back
Top Bottom