Recent content by Samrespect2main

  1. Samrespect2main

    Hongereni Wanamuleba na Kagera kwa ujumla Kwa vijiji vingi kuunganishwa na lami

    Mbona Biharamulo inazidi kudumaa tu hakuna maendeleo miaka nenda rudi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Samrespect2main

    BAADA YA APPLICATIONS ZA WAAKIMU WAPYA

    Kwa wale waalimu waliofanikiwa katika kufanya applications zao vizuri nawapongeza sana,! But nawakumbusha tu kuwa kutuma maombi ni ishu nyingine na kuchaguliwa kupewa hiyo kazi pia ni case nyingine.! Hivyo nawasihi dua na sala ziendelee maana ajira 4549 ni kiduchu sana ukilinganisha na malaki ya...
  3. Samrespect2main

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Kufanikiwa kutuma ni jambo moja but kuchaguliwa kupata hiyo kazi ni ishu nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Samrespect2main

    MKANGANYIKO KUHUSIANA NA MATANGAZO YA AJIRA ZA UALIMU

    acha kurusha roho wenzio, hilo la pili umelitoa wapi wakati mwishao linaonyesha sahihi ya Waziri Jafo????
  5. Samrespect2main

    Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Samrespect2main

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Kila mtu amekwamia hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Samrespect2main

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Kutakuwa na tatizo la jumla kila mtu kakwamia hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Samrespect2main

    Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

    Ndiyo haifunguki, mie tayari nimetengeneza account but ukiweka username na password hawaleti option ya Ku log in Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Samrespect2main

    Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

    Hiyo barua inaandikwa kwa mkono then nascan au iwe typed mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Samrespect2main

    Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

    naomba msaada kwa mliofanikiwa kutengeneza accounts na kufanya applications, kunavigezo gani hasa vya kuzingatia upoingia kutuma maomba baada ya Ku create account? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Samrespect2main

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    Umefanikiwa Ku log in nakufanya applications? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Samrespect2main

    Mnaotarajia kuhitimu huko vyuoni kuanzia mwezi May karibuni tusote pamoja

    Tatizo hawataki kutoa tamko kama hakuna ajira watu wajue chakufanya
Back
Top Bottom