Recent content by sampuli nyingi

  1. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

    Acha dharau wewe Tuliza shobo dundo mbona una pigo za kiwaki Wewe unachowashwa Ni Nini ili ukunwe
  2. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania Mshahara Julai 2022

    tuliza kishundu wewe kapige kwanza mswaki uondoe ilo harufu ndo uropoke
  3. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania Hakika Watumishi tumedhalilishwa

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  4. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania Watumishi tuache tabia ya kudai kudai tu, tuishukuru serikali

    Serikali iache kuwahadaa watumishi kulikua na haja gani kujinasibu kila siku kwenye vyombo vya habari kuwa tumeongeza mishahara ya kihistoria watu watapagawa kwa ongezeko ilo la 23.3 Mwisho wa siku mnakuja na kituko icho mfyuuuuu dadek hamna kitu huyu mama hafai kukaa pale ikulu Vinginevyo...
  5. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Huyu mama nadhan anashauriwa vibaya wapiga dili wamemzunguka Hana uwezo wa kujisimamia Shame on them
  6. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania Katika mshahara wa million moja na nusu nimeongezewa 30000 tu

    wanasiasa wana tabia za kichoko uongo uongo tu hakuna utofauti na malaya
  7. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna bora ya kulea watoto wa kizazi cha sasa

    Asante boss
  8. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania Kimya ni jibu sahihi sana

    Usidanganyike UKIMYA NI JIBU SAHIHI USIYUMBE NDUGU mbona Uzi wako uko good Sana Ila naona unavyopitia comments unataka kusuport Tena kuongea Baki na msimamo wako UKIMYA NI KIWANGO CHA JUU CHA BUSARA NA HEKIMA Hata neno la Mungu linasema Ivo ktk mithali
  9. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania Inahitajika mtaji kiasi gani ili kuweza kufanya shughuli za uwakala wa mabenki?

    At least uwe na angalau million 50 mkuu
  10. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania Superbrand Afrika Mashariki mnakwama wapi?

    Afu Mimi nashindwaga kuelewa ivi logic ya kuazia kutangaza muhstar akiwa mbele ya kiti akiwa amesimama then anaaza ku move kwenda kwenye kiti hii maana yake nini? watangazaj wengine wakike hawana mizigo nyuma wako flat hii haijakaa poa ata least kidogo Farhia middle ana mzigo angalau
  11. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

    Nimeota nafukuzwa na mwanamke nakimbia atar baadae akanikamata akanikaba akadai nimle uroda nikajitahid Sana kukataa Lakin akanilazimisha ikanibidi nipige show kishingo upande maana sikua na option
  12. sampuli nyingi

    JamiiForums Tanzania Rest In Peace my Brother

    Pole Sana
Back
Top Bottom