Atakayesaliti hizi harakati naye ataondoka chadema.. Haijalishi yeye ni nani, Hata Lissu na Heche wanalijua hilo!
Kama ni kushikana mikono wakashikane na wale walipoteza ndugu zao kwa utekaji au mauaji ya 29 october!
Watanzania Bwana... Kwanza ni vizuri kuelewa kwamba Kardinali Rugambwa madaraka yake kikanisa yako Jimboni kwake Tabora tu! Askofu wa Lindi ana mamlaka kamili katika jimbo lake ambayo hayaingiliwi na mtu yoyote na hawajibiki kwa yoyote ila mamlaka yake ya uteuzi ambayo ni Baba Mtakatifu!
Wapinzani wapi unaowaongelea wewe? CHADEMA wamekataa mauwaji, uchafuzi na hila za kitoto zinazotawala chaguzi zetu, Tangu enzi za kina Alphonce Mawazo etc.. Kauaneni na hao CCM B! JK aliondoka na Demokrasia nchi hii... at least enzi zake kulikua na aibu kidogo, CCM ya leo Hata kushindana...
Mabadiliko ya baraza bila watu kufikishwa kwenye vyombo vya haki kujibu jinai zao ni kazi bure... mabadiliko yafanyike na waziri anayebadilishwa atuambie wasiojulikana ni nani na wanafanya hayo wanayofanya kwa faida ya nani!
Ni chaos, mkuu.. halafu hizi barabara za mwendo kasi vituo kila vaada ya mita 200! enzi hizi za magonjwa ya NCDs na watu wavivu wavivu mnaweka vituo kila baada ya mita 100 au 200? vituo viwekwe sehemu za muhimu tu ili watu watembee wafanye mazoezi, Barabara zitengenezwe vizuri na zijumuishe...
Ushamba tu unawasumbua utopolo... Preseason ina malengo mengi kubwa likiwa team kujiandaa na msimu mpya ila mengineyo yanajumuisha kubadilisha hali ya hewa, relaxation ya wachezaji na benchi la ufundi. Kiufupi ni aina nyingine ya Holiday kwa wachezaji na benchi la ufundi... Endeleeni kujifungia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.