Kwa mantiki hiyo, serikali haina namuna isipokuwa kununua magari kutoka TOYOTA ambayo upo uhakika wa service after sales., Aidha ukiagiza gari kupitia UNDP utapata gari hilo baada ya miezi sita au zaidi, chombo unakihitaji sasa kwa ajili ya kuhudumia wananchi unapewa baada ya miezi sita au...
Lakini pia ukinunua gari na kuanza kuitumia, tayari unahitajika kuitengeneza, makampuni mengi ya magari ukiacha Toyota hayana mawakala wa kutengeneza magari yao katika mikoa yote, hivyo ukinunua gari lisilo na mtengenezaji mahali ulipo ni sawa na kupoteza fedha, utalitumia kwa muda mufupi...
Sina uhakika kama CAG anao wataalamu wa ukaguzi katika eneo la magari, magari yanatofautiana na kuzidiana katika ubora na upatikanaji ya vipuri kwa ajili ya matengenezo. Hii pia inaendana na ujuzi wa mafundi wetu wa kutengeneza magari.
Mtu unalamikia kuhamishwa katika utumishi wa umma?? Aliyeleta hiyo hoja atakuwa mpiga majungu tu, hakuna huja hapo,, tena inaonyesha UDOM wastarabu kweli, wanashikisha chama cha Wafanyakazi?? Taasisi zingine uongozi haushirikishi kabisaaa, hongereni uongozi wa UDOM kwa kushirikiana viongozi wa THTU
Tunao wataalamu wetu wengi tu waliobobea katka masuala ya rangi, wapo wahandisi waliosoma huko huko nje na wanaweza kufanyia kazi hiyo hapa hapa, ubinafsi wetu ndio tatizo
Kama suala ni uhitaji wa kukwangua rangi na kupaka upya yote kwa rangi za ATCL, inashindikana nini wataalamu wetu kushauri hivyo na kufanyia hapa hapa? Lengo lilikuwa dili tu, uchambuzi ulifanywa hapo juu umeufanya kwa maongezi ya hao hao wapiga dili, acheni upambe wa kupiga dili
Lissu anajua anachofanya, hii hulka ya Waafrika wachache, wakiona kiongozi aleyeko madarakani anamwelekeo wa kusukuma nchi kwa ajili ya maendeleo, wanaibuka na kigeuka kama Lissu
Mtu yeyote ambaye siyo mnafiki kwa wazungu kila anachofanya kitakuwa kibaya tu. Jiulize wewe unayetetea ushoga kama akili yako iko sawa, jamii yetu inaangamia kwa sababu ya wachache wachumia tumbo, wako tayari kutetea mambo ya kishoga ili wapate mkate wao.
Itifaki kuzingatiwa muhimu sana, aliyeweka taratibu hizo alijua kabisa, kwa akili ndo tu wala huhitaji kusoma sana, MKUU wa Wilaya anawajibika kwa MKUU wa Mkoa kwa kazi za kila siku hata kama ni mteule wa Rais, ifahamike kwamba ki itifaki MKUU wa Mkoa ndiye anamwapisha MKUU wa wilaya, hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.