Recent content by SAMMYT

  1. S

    CRJE na ufisadi serikalini

    May be wanareason au tayari wanafuatilia tatizo letu we doubt everything
  2. S

    CRJE na ufisadi serikalini

    Ni viti maaulum hivi? au makundi maalumu?
  3. S

    CRJE na ufisadi serikalini

    Kwani concrete inatakiwa kuwa cured miaka mingapi? it is only 28days sasa usichanganye uwezo wa kifedha na stregth ya concrete
  4. S

    CRJE na ufisadi serikalini

    Fighter, Nashukuru kwa technical explanation, Msuya is a civil Engineer or chemical and process eng? maana viginevo asingekimbilia kuzungumzia crack bila kujua ratios za cement ya kwenye concrete na mortar ambayo naamini ndo sehemu yenye cracks, I have been at Udom one time cracks zilizo nyingi...
  5. S

    CRJE na ufisadi serikalini

    Fighter Kwenye m3 au m2 umeenda mbali kuna wengine hata kusoma na kuandika ni issue unajua sasa hivi sekta ya ukandarasi imeingiliwa haimzuii yeyote kufanya hiyo biashara unajua tofauti na madvocate na ma-auditor kwamba ili upractic lazima uwe professional
  6. S

    CRJE na ufisadi serikalini

    Hiyo nimeipenda maana wazawa tuanataka kila kitu kupendelewa hata kama hatuna uwezo, ofisi za brifkesini mitaji hatuna. Ningedhani kwani tufanye overhaul ya system ya mikopo katika mabank yetu na wakandarasi wazawa tuwe committed kweli kweli kwani aliyeyaua mashirika ya umma si watz wenyewe? leo...
  7. S

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Feedback, Mbunge was just to mention a few ... Hayo ni mambo ya kufikirika tu kwamba nafikiri EL hapendwi na wengi. Mimi sina upande wowote wa ushabiki kati sijui ya EL na Dr lakini ukiniambia niwashindanishe kwa performance mkulu anaweza akapigwa chini ila tatizo ninaloliona kwa baadhi ya...
  8. S

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Kwanini Migiro? kwa ajili ya unaibu ukatibu mkuu wa UN? Hiyo haijalishi ingekuwa kwa sifa hizo hata Dr Salimu si angepeta mwaka jana? hawa jamaa wanamambo, hapo ni nguvu ya mtandao tu bila kujali huyo wanayempropose ni kilaza au la
  9. S

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    +ve sijakupinga nilitaka tu kujaribu kuwa precise na neno "nampenda" maana wewe sio mbunge useme unawawakilisha wananchi waliokuchagua, binafc cmchukii EL japo hiyo haimaanisha nampenda.
  10. S

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Sema Nampenda sio tunampenda.
  11. S

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Sema nampenda
  12. S

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Dilunga KWANI HAPO JIZI LINAKUWA LIMEKUJA KUSEARCH? KUKWIBA? HAPA LINALO ONGELEWA NI KUKAGUA SIO KUIBA
  13. S

    Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa

    Kwani ile kauli mbiu TUMEWEZA KUTHUBUTU NA TUNAENDA MBELE KUANGUKIA PUA Unafikiri ina maana gani kama si hii ya kukosa VISION?
  14. S

    Law ofsales of goods Act ya Tanzania

    I have tried but to no avail, napata acts nyingine tu.
Back
Top Bottom