Ushirikiano wetu ni kiuchumi zaidi, wakiomba msaada katika mambo ya kiusalama wanaweza kufikiriwa, lakini kwa sasa hawajaomba wenyewe wanaona bado wanauwezo wa kuwadhibiti Hao vijana aka alshabab
Wapwani wakifiwa leo wanazika kesho siku, siku ya tatu wanaendelea na shughuli zao. Na wewe je ukifiwa leo unazika lini? Na nyinyi ndio mliovumbua madini? na mnaendelea kuchimba? au wazungu walioopewa katika katika awamu ya 3
Achana na ZNZ wewe! ni sehemu nzuri zaidi kutembelea katika afrika mashariki kama ana moyo wa kusaidia watoto tu si angelikuja huku tanganyika kenya uganda au sehemu yoyote duniani
Ni kweli kuna uongozi mbovu na hakuna utawala wa kisheria na uwajibikaji, kupeleka jeshi sio solution JK afunguke awambie ukweli watawala wa kule, asicheke nao.
Ni bahati mbaya sana kijana wewe wa Zenj bado unafikiria misaada ndio njia ya kunyanyua uchumi. Mambo muhimu kukuza uchumi wenu ni kutumia vizuri resource zenu na kwa sasa mna UTALII TU kama na hilo mnaliharibu kama mlivyoikata mikarafuu haya!! au ndio mna mafuta na gesi? watanganyika wameprove...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.