Recent content by Samia2025mitanotena

  1. S

    KERO Serikali mliangalie hili, inakuwaje mtu anachaguliwa Kozi ambayo hajaomba?

    Kijana amemaliza form four na pass za Phy C, Biology B, Chem A, na Maths Chaguo la kwanza aliomba Pharmacy, Chaguo la pili aliomba vyuo vya ufundi. Sasa amepangiwa kwenda Advance PCM. Imekaaje hii wakuu ukizingatia hakupenda kwenda Advance kabisa. Pia soma: ~ TAMISEMI wafafanua kinachopelekea...
  2. S

    Yemen yatungua ndege jeshi ya 6 ya jeshi la USA- tazama ilivyoitungua!!

    Kumbuka maneno yako, be careful with your words. Natambua wewe ni mtoto wa miaka ya hivi karibuni maana hakuna taifa lililowahi kusifiwa kama ni kiboko wa USA kama Iraq.
  3. S

    Nataka kusoma PhD: naombeni mawazo yenu

    Wewe yaonyesha utachukua muda mwingi sana kukamilisha PhD tena nimeona watu wengi wanakupoteza zaidi, kifupi wote mnapotezana. Kabla ya kufikiria kusoma PhD fikikia genuine problem you plan to figure out/fix ( the gap u plan to fill.
  4. S

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama Samia ndani ya muda mfupi amefanya mambo mengi sana. Barabara, umeme wa rufiji, treni ya umeme, mikopo isiyo na riba kwa wananchi, ameunganisha taifa na kuongeza furaha Kwa wananchi. Mengi mazuri yanakuja endapo tutampa muda zaifi. Hakika mama anastahili. Mwaka 2025 kura zote kwa Samia.
  5. S

    Nahitaji mke mtu mzima

    Nahitaji mke awe na umri kuanzia miaka 30 -48. Mimi nina umri wa miaka 44. Awe mkristo na mwenye kumcha Mungu. Elimu kuanzia Diploma na kuendelea.
Back
Top Bottom