Jaribu kudownload application nyingine ya camera, uijaribu kama bado tatizo lipo Nenda kwenye setting, backup and restore alafu fanya factory reset. Ikigoma hapo pia fanya mpango wa kuiflash. Kabla hujafanya chochote nakushauri kwanza ufanye backup ya data zako
ubora wa simu ni pafomansi hebu install game mbili zenye mb zaid 40. Ala fungua moja minimize kwa kutumia home batani alafu fungua na lapili kisha cheza hilo ame la pili ilihali lile la kwanza umeliminimize utaniambia mwenyewe. Kama una tekno usije ukafanya hivyo itakustakia bure
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.