Recent content by sameerkhan

  1. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Daahhh inabidi niwe mpole tu ila ningeipata ningehangaika nayo hata kidogo nionje ladha yake [emoji39][emoji39]
  2. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu, msaada wa gcam for samsung A23
  3. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Msaada gcam for samsung A23
  4. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Habari za muda huu wadau, Samahani sana naomba msaada wa setting kwenye simu yangu ya Infinix Hot 8 simu yangu sms zinaingia kimya kimya bila kutoa sauti (sound notification) naombeni mnisaidie sijui nakosea wapi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Walimu nani kawaroga?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    App iko poa, hongereni sana
  8. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Leo chances nyingi lakini tumeshindwa kuzitumia, sub zinafanyika too late aisee ila still trong [emoji110][emoji110][emoji110] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Video Lyrics

    Chief-Mkwawa tusaidie zote tu kama inawezekana 1. Lyrics tupu na audio yake 2. Lyrics na original video pia inaonekana
  10. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu memory card nashindwa kucopy files au kufuta files

    Write protected ndio nini? Labda hili linaweza kuwa tatizo
  11. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu memory card nashindwa kucopy files au kufuta files

    Kwenye simu inakubali kufuta baadhi ya files , lakini nikitaka kuweka files kwenye memory ndio inakataa
  12. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu memory card nashindwa kucopy files au kufuta files

    Kama inavyojieleza hapo kwenye heading naombeni msaada memory card yangu nashindwa kuhamisha files kutoka kwenye PC kwenda kwenye memory, au nikitaka kufuta baadhi ya files kwenye memory inaniandikia "NO PERMISSION TO DELETE" MSAADA PLEASE.
  13. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufuta beat, ibaki sauti

    Ahsanteni sana nafanyia kazi mliyonipatia
  14. sameerkhan

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufuta beat, ibaki sauti

    Nahitaji App kwenye smartphone au PC niwezeshe kufuta/kuondoa beat na ibaki sauti pekee. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Back
Top Bottom