Recent content by sameer0220

  1. sameer0220

    GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

    Baada ya hizi Ramli na utabiri mnanufaika nini😁😁 Kila jambo mnatabiri na halitokei mnasahau utabiri wa mwanzo mnatabiri kingine tena hadi mnazeeka kichwa kimechoka kwa ramli zisizo na uhalisia au motokeo
  2. sameer0220

    Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

    Wamemuelezea yukoje huyo Yesu au anafanana na yule wa kwenye Muvi?
  3. sameer0220

    Ninaiomba Serikali iingilie kati kuhusu hawa panya wapya hapa Dar ni kero

    Sijawahi kutana na panya wanadharau kama hawa pia wananuka balaa na paka naye hataki hata kuwala Naiomba serikali iingilie kati huu mzozo hapa DAR mana ni kero kubwa sana .
  4. sameer0220

    Qatari ndio wanaozusha uongo wa Njaa kali huko Gaza, Vyakula havijawahi kuisha Gaza tokea vita huko Gaza ianze, Qatar anacheza game

    Sijawahi kutana na uzi wa kishetani kama huu, ambao umeandikwa na katili na mwenye roho chafu na bado anatetea unyama wake bila kutumia akili au macho aliyonayo zaidi ya ujuaji
  5. sameer0220

    Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Kila nchi ina utaratibu wake wakujiendesha na namna ya kulinda raia wake kimaisha au vyovyote hivyo umetoa mifano lakini ni mifano ambayo asilimia kubwa haina mashiko kwakuwa baadhi ya nchi hapo zina sheria za kuwalinda wazawa labda kenya haina sheria hizo Na huo ndio UZALENDO watanzania kwanza...
  6. sameer0220

    Ukitaka kuoga matusi nenda kinyume na CHADEMA

    Tatizo huwa ni nini hasa kwa wafuasi wa CDM kwamba ukiwauliza swali ili ujifunze unapewa matusi Ukienda kinyume na maono yao unashambuliwa NB mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtu huru😅
  7. sameer0220

    Nimelima parachichi hekari 14 lakini kwa mara ya kwanza nimepata viparachichi vidogo sana

    Sidhani kama picha ina muhimu sana Mkuu mana ni vidogo sana alafu vimeiva ila havina mvuto wa mauzo nikienda tena nitaleta picha
  8. sameer0220

    Nimelima parachichi hekari 14 lakini kwa mara ya kwanza nimepata viparachichi vidogo sana

    Naam nilikuja na Mtaalamu toka njombe, akaja huku songea na yeye ndio alifanya budding na kila kitu
  9. sameer0220

    Nimelima parachichi hekari 14 lakini kwa mara ya kwanza nimepata viparachichi vidogo sana

    Nimelima na kupanda miparachichi heka 14 mwaka ndio zimezaa lakini ninapata wasiwasi mana ni vinekuwa vidogo sana kiasi kwamba nahisi haviwezi ingia sokoni, je wataalamu ndio huwa hivi kwa mara ya kwanza?
  10. sameer0220

    Kipimo cha umasikini wa wafanyakazi wa serikali ni hiki hapa

    Ingekuwa hivyo watu wasingelilia ajira mda mwingine huku mtandaoni tunapenda sana kujipa matumaini ya hovyo 😅
  11. sameer0220

    GE2025 Tundu Lissu: Ulimwengu unajua hakuna Kesi bali ni Siasa, nimepewa Kesi ili wasisumbuliwe na No Reforms, No Election

    Samahani mkuu we ni wa kike? Inakuwaje unatoka machozi kizembe au yanatoka kama mkojo? Familia yako inajua kwamba ina mtu anamlilia mwanasiasa anayepigania tumbo lake na familia yake?
  12. sameer0220

    Mfumo wa kuchagua comb kidato cha kwanza

    Ahaa kwahiyo ni wanaanza toka form 1 kutosoma Physics, biology na Chemistry?
  13. sameer0220

    Mfumo wa kuchagua comb kidato cha kwanza

    Ni masomo ya kusoma amechaguliwa ART na sio sayansi anayoitaka
Back
Top Bottom