Tanzania 2006/07 ambaye ni staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu Beautiful Onyinye, amevunja ukimya kwa kuamua kuanika kisa cha yeye kummwaga aliyekuwa mwandani wake, nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond Platnumz.
Akizungumza na Amani katika mahojiano maalum jijini Dar...