Natafuta kazi msimu huu wa sabasaba

beautifulonyinye

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
728
479
Habari zenu Wakuu
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, Ninaomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia Kazi yoyote katika msimu huu wa sababu , Kama kufanya matangazo ya bidhaa mbalimbali na Kazi nyinginezo zitakasokuwa zinahusika Sabasaba.
Nina uzoefu wa miaka miwili as a brand Ambassador wa kampuni mbalimbali za masoko .. Na najua vizuri kuongea na mteja kwa kujiamini .
Kwa mawasiliano zaidi my no.0624145221

Natanguliza shukrani
 
American supermarkt wamekanusha hzo habari za ajira msimu huuu wa sabasaba katika page yao ya facebuk...ni wajanja tu wamjini wametengeneza tangazo hata hzo no hazipatikani.
Asante kwa taarifa. Umeokoa wengi kutapeliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom