Mungu tusamehe ...taifa limeingiwa na watu kuwa na chuki kiasi hiki ... Watu wanashangilia wezao kufa ..Mungu wa rehema wape pumziko la Amani marehemu wote wa ajali...hakuna aijuaye kesho yake tuweke akiba ya maneno.
Mtoa mada.hapa.si maali.pa.kulalamika kuhusu hela ya hizo.unazosema unadaiwa viongozi wetu wametoa.elimu.nyingi sana juu ya hili jambo na wahumini wengi walielewa vizuri wakachanga pesa na sharika nyingi.wamemaliza uwiano.wao siku.nyingi.sana....na.pia.ufahamu tu kuwa si lazima kutoa kama moyo...
RC Gambo mara nyingi amekuwa anatabasamu sana hata ukimkorofisha ,sasa pale DC kaonyesha nidhamu mbaya au dharau kwa mwenzake na RC kawa mpole sasa credit c kapata RC .hongera Gambo
Mungu awaponye haraka majerui...hii speed kama gari la samaki kwa viongozi litazamwe upya najiulizaga mbio zote akikatiza punda kihongwe c patachimbika bila sururu
Mtoa Uzi amenigusa kweli kweli nimekaa sana mikoa ya Tanzania na jirani zetu K ,kweli hapa Arusha mteja hana thamani kabisa unaenda hotel I ya kawaida kabisa muhudumu anakuja amekunja uso na hana ukarimu wowote ukitaka kulipa mpaka upige miluzi kumwita muhudu ili ulipe bill yako .hawana menu...
Huu ni uonevu wa wazi kabisa mfano Nssf Arusha wankupa Mafao tu endapo utakuja na barua ya kufukuzwa kazi au mkataba wa ajira yako umekoma.kwa wale ambao wameacha kazi wenyewe wanadai kuna maagizo yametolewa kuwa wasipewe form za kudai mafao yao au uandike barua ya kujieleza kwann umeacha kazi...
Uyu Mzee alitutoa kwenye utalii wenye vigari vyetu vya kudunduliza Mungu amesikia kilio chetu wanyonge, pole sana professa wetu aliyekuteua ndo aliyekutumbua vumilia tu baba watumikie wana Mwaga ,na wote tunayo TALA tunapiga Nazi bado.
Mungu azilaze pema roho za Askari wetu , hata kama tunatofauti zetu za kisiasa hili ni jambo la kulaani kbisa kwa nchi yetu kumwaga Damu za watu wasio na hatia, c Askari wote ni wabaya wapo wanaofanya kazi zao kwa weledi mkubwa kabis ila bahati mbaya nature ya kzi Yao wengi wa nawaona wanoko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.