Recent content by Sambuka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia namba mbili za whatsapp kwenye simu moja

    na Sie kwenye sim za line Moja tunaweza pata hiyo mambo?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yahoo mail haifunguki kwenye opera min browser ya simu,solution kwa hili tafadhari.

    hata kwa android inafungua page yaku login pekee haizami ndani, tupe ingine kama ipo..
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO kukata umeme muda wa kombe la Dunia!

    mwanza tayar wamekata....
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada receiver/decoder ya azam tv

    umejaribu kumuona Mirey wa hapo nzega?
  5. S

    JamiiForums Tanzania msaada: bluestacks na nsu

    ukubwa wa ram pia unahusika sana ktk kifaa chako isipungue 2gb
  6. S

    JamiiForums Tanzania htc smartphone vs tecno smartphpne

    acha kudanganywa, hivi tecno ni yakuCompare na htc, tecna bado mchanga sana ucdanganyike hata kama tecno ana kitkat na htc ana 4.0 chkua htc kwa ushaur wangu wenye uzoef.
  7. S

    JamiiForums Tanzania KAT ya HUAWEI Y 300 na NOKIA X+ new model ipi mzuri

    kwa specfctn nilizoona ningekua mimi ningechukua Nokia X+ itafaa kwa uimara, battery life tunawajua nokia wapo vizuri..
  8. S

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha gospel(above 80 channels)

    ...ukitaka zaidi unafunga lnb2 na Ku2. unavosema lnb 2 na Ku2, unamanisha KU sio LnB?
  9. S

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha gospel(above 80 channels)

    umenikumbusha pale intelsat 20 e
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    naisaka sana Citizen TV kwny intelsat 20 ilipo emanuel Tv, alieipata atujuze kama ipo kweli kwa mujibu wa lyngsat Intelsat 20 at 68.5°E - LyngSat
  11. S

    JamiiForums Tanzania TBC Yafanya Kweli!, Yashusha OB Van ya Kufa Mtu!, Ina Kamera 12!. Itarusha HDV Signal Kama DSTV.

    maboresho yaanz kwenye upatikanaj kwnz, signal zikipanda na kuwafkia wenye 6ft hapo tutajua kweli 6bil zimefanya miujiza
  12. S

    JamiiForums Tanzania TV Imaan wangia mkataba na StarTimes kurushiwa matangazo yao

    Grarama ya kulipia kituo cha luninga kwenye satelite fta ni kiasi kipi, mfano eutelsat, intelsat nk..
  13. S

    JamiiForums Tanzania muslims tv [tv - imaan]

    hio Citizen mi Siipati inakuje nikiweka hzo freq ninyi bado mwaipata?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    si rahisi kutuhamisha huku, mi tabaki hapahapa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ving'amuzi vya Azam Tv

    njoo hapa Nyerer RD katikat ya QSS na KukuPOA utakagua chanel na kununua hapaHapa
Back
Top Bottom