TANESCO kukata umeme muda wa kombe la Dunia!

TANESCO kukata umeme muda wa kombe la Dunia!

Unajua tusipofuatilia mechi za kwenye T.V hua tunawaanzishia mechi za 6x6 nyinyi.., au ndo unachotaka hicho kuijaza dunia sio..?!

Hizo mechi ndio poa na zina faida unaweza zaa mtoto akawa raisi huo mpira unawapa ninii
 
Umeme unaweza ukawepo mitambo ya TBC ikabuma!!!

hivi umelijuwaje hili? kwangu tbccm ni scratch tupu nataka nijilalie zangu tu nisiume moyo wangu bure, hizi hujuma dhahiri na sijui ni kwa manufaa ya nani?
 
yani bora uote unakula kiapo cha ndoa wewe na matola ni kifo tu kiwatenganisha yaweza kuwa kweli kuliko hiyo ndoto unayotaka kuota.

Whaaaaaaatt! !!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom