Nakuunga mkono mdawa,huo ndio ukweli,tatizo la watanzania ni udumavu wa ubongo,unajua lishe inasemaje,udumavu ni tatizo kubwa sana sana na linaanza ndani ya siku 2000 tangu kutungwa kwa mimba hadi miaka miwili akishazaliwa,lakini unjua athari zake,mtoto huyo akizaliwa na udumavu anaendelea nao...