Recent content by Samber Junior

  1. Samber Junior

    Je, Barabara iendayo Kijichi imefungwa?

    Shukran kwa taarifa Chief
  2. Samber Junior

    Je, Barabara iendayo Kijichi imefungwa?

    Usikurupu usikurupuke, ndo maana nimeuliza kama kuna ukwel wwte
  3. Samber Junior

    Je, Barabara iendayo Kijichi imefungwa?

    Habari wadau, kuna ukweli wowote kuhusu njia ya mtoni kijichi kufungwa kutokana na mvua....mwenye taarifa atujuze
  4. Samber Junior

    Natafuta chumba temeke chang'ombe

    dalali ndio alikusaidia au? kama ni yeye nisaidie namba zake mkuu
  5. Samber Junior

    Natafuta chumba temeke chang'ombe

    nami nasaka maeneo hayo
  6. Samber Junior

    Mpigie kura Rais Magufuli kwenye Forbes Africa Person of the year

    nimepiga kura ila ni siri yangu, naogopa tume wasije wakaikwiba bureeee
  7. Samber Junior

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesikitishwa na matamshi ya RC Paul Makonda

    ni kauli ambayo haikupaswa kusemwa na kiongozi yoyote tena hadharani
  8. Samber Junior

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesikitishwa na matamshi ya RC Paul Makonda

    TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kitalu Na. 8, Mtaa wa Luthuli S.L.P 2643, DAR ES SALAAM Simu: +255 22 2135747/8; 2137125; 2135222 Faksi: +255 22 2111281 Barua Pepe: chragg@chragg.go.tz Tovuti: www.chragg.go.tz Agosti 26, 2016 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tume ya Haki za Binadamu...
  9. Samber Junior

    Taarifa ya Mtatiro kuhusu kugombea uenyekiti wa CUF

    KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA CHA WANANCHI CUF. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Kutoka kwa Mwanachama mwandamizi wa Chama Cha Wananchi CUF, Julius Sunday Mtatiro. 09 Julai 2016 Ndugu zangu, Napenda kutumia fursa hii kuwatakia mapumziko mema baada ya sherehe za Iddi. Hata hivyo ninalo jambo...
  10. Samber Junior

    Nahitaji Pikipiki used

    bei zake zikoje mkuu hasa hizo za 50cc
  11. Samber Junior

    Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

    bado najaribu kufikiria atahamia wapi tena....
Back
Top Bottom