Recent content by SAMAMBILE

  1. SAMAMBILE

    Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    Muamba ngoma huvutia kwake
  2. SAMAMBILE

    Chief executive officer mwenye tabia ya ushoga

    Ok!Kwa sasa hapatikani alisharudi kwao Ulaya.
  3. SAMAMBILE

    Chief executive officer mwenye tabia ya ushoga

    Hataweza kulalamika kwakuwa mwenyewe ni part of an offence.
  4. SAMAMBILE

    Chief executive officer mwenye tabia ya ushoga

    It might be stormy now but it can't rain forever.
  5. SAMAMBILE

    Chief executive officer mwenye tabia ya ushoga

    The mercy,love and grace of God is more than enough if you confess your foolness.Your mouth will be cleaned from your unrighteousness.
  6. SAMAMBILE

    Chief executive officer mwenye tabia ya ushoga

    Chief Executive Officer kutoka nchi "X" ambaye ni shoga.Ameingia nchini Tanzania kwa lengo la kuja kuangalia wanafunzi yatima ambao wanasomeshwa na NGO anayoiongoza yeye mwenyewe kama CEO.Mara anaanza kuonyesha tabia yake ya ushoga akiolewa na mtanzania.Jamii ya watanzania tumelijua hilo ila...
  7. SAMAMBILE

    Russia urges Assad to give up chemical weapons

    Mkuu mm binafsi sielewi tu.Hii nguvu ya Syria kumiliki Silaha za kemikali zinatoka wapi?Mbona Russia seen as a judge of its own case?
  8. SAMAMBILE

    Syria

    Yote ni majanga tu.Ina maana hakuna taratibu za kumpunish Syria?
  9. SAMAMBILE

    Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

    Jamani mfa maji haachi kutapatapa.Kagame anajichimbia kaburi la kujizika yeye mwenyewe.Na sidhani endapo wananchi wake watakubaliana na kupanda kwa maisha nchini mwake.
  10. SAMAMBILE

    Trafiki "feki" akamatwa akila vichwa live

    Anyway yote heri.Kwani maisha bora kwa kila mtanzania bado sana.
  11. SAMAMBILE

    Rais Kikwete akutana na Wabwia Unga Ikulu Dar es salaam

    Nzuri hiyo ni mwendelezo mwangavu wa kupambana na tatizo.Ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa victims.
Back
Top Bottom