Recent content by samael23

  1. samael23

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama kweli Serikali imedhamiria pasiwe na maandamano D9 njia bora ni kupiga marufuku ya kutoka Siku hiyo kwa masaa muhimu

    Kwan siku ile alitakiwa kupinduliwa na nan maana ata yy alikua anagombea
  2. samael23

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

    Ata ndege Hufundishwa kupaa. Lazima kwanza uwe na makali ya maarifa ya uwezo wako; pili, ujasiri wa kuthubutu; Tatu, imani kufanya.
  3. samael23

    JamiiForums Tanzania Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

    Demokrasia ili ifanikiwe inahitaji watu walionyooka kuanzia ngazi ya familia.sasa uku kona kona na vichochoro vingi Demokrasia hawez fanya kitu
  4. samael23

    JamiiForums Tanzania Kuna wazee wana hekima na busara sana

    Hongera sana mkuuu kwa kushea nasi.
  5. samael23

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Tanzania hivi kweli nyie binaadamu ama majini mnamaana gani kutukatia umeme asubuhi hii kinondoni kata ya msisiri muda wa watu kujiandaa kwenda makazini turudishieni umeme tafadhalini
  6. samael23

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

    Huu anachukua Trump unaokuja ndo anachukua uyo mama💯
  7. samael23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa

    Ushauri wa mkuu juu apo ukiongeza + Sala kwa imani yako na kazi uwe bize kijana.
  8. samael23

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa kampuni ya Cocacola, fanta ndani ina kisoda kilichokunjwa

    Uo ni Ushamba kwa Wananchi unatumbukizaje kisoda ndani ya chupa
  9. samael23

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya kiarabu yanaletwa kwa dhumuni gani

    😆😆😆
  10. samael23

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Helford Mackinder, Russia is “the Heartland and whoever dominates it, dominates the world” (1904);
  11. samael23

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Msaada tanesco sisi wakazi wa kinondoni msisirib hatuna umeme tangu jana usiku wa saa7 mpaka muda huu haujarudi
Back
Top Bottom