Kuna watu wanaleta ushabiki mandazi kwenye hoja za msingi dr slaa na wanalumumba walishajibiwa kuwa kma wana ushaidi waende mahakamani gwajima anachofanya nw nikujibu mapigo cz dr mihogo alimshambulia personall.
Kuna watu wanaleta ushabiki mandazi dr slaa na wanalumumba walishajibiwa kma wana ushaid wapeleke mahakamani hawani washut up!anachofanya gwajima nikujibu shutuma za dr mihogo
Kuna watu wanaleta ushabiki mandazi kwenye hoja za msingi dr slaa na wanalumumba walishajibiwa kuwa kma wana ushaidi waende mahakamani gwajima anachofanya nw nikujibu mapigo cz dr mihogo alimshambulia personall.
Ninachokiona hpa ni watu kuweka ushabiki wa simba na yanga bila kuangalia facts tz huwa tunachagua mtu na sio chama hivyo mwaka huu hamna mgombea anayeweza kujipima ubavu na lowasa co magufuli wala slaa hivyo wakati wa ukawa kwenda magogoni ndo huu nawasipopata mwaka huu watasubiri baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.