Recent content by sam2000

  1. sam2000

    JamiiForums Tanzania Marathon ya petroleum refineries Afrika mashariki na hatma ya Jumuiya yetu..

    Nina uhakika ni watu wanaomzunguka waliona USD 17B wakapita 10% wakajua tayari wana trillions kadhaa za madafu😂
  2. sam2000

    JamiiForums Tanzania Marathon ya petroleum refineries Afrika mashariki na hatma ya Jumuiya yetu..

    Lazima. Hustler anamapungufu yake lakini amegundua wawekezaji wanataka incentives lazima ushindane na nchi zingine wanalinganisha nani anatoa incentive kibao, ni kama tu kwa Trump Amazon walivyotaka HQ mpya, States karibu zote walikuwa wanagombania mwisho wa siku Virginia wakashinda.
  3. sam2000

    JamiiForums Tanzania Marathon ya petroleum refineries Afrika mashariki na hatma ya Jumuiya yetu..

    Boss naona big boys wanataka kuupa huu mradi lifeline, hapa sasa ni wenye maamuzi wafanye kweli isiwe kama Dangote😊. From LinkedIn Caroline Kimeu and Alexandra Wexler Snow still think Greta rules. And worse! The Wall Street Journal opens its pages for such articles. I know it was on October...
  4. sam2000

    JamiiForums Tanzania Marathon ya petroleum refineries Afrika mashariki na hatma ya Jumuiya yetu..

    Huu mradi wa LNG kama hautaanza wakati huu wa Trump, ndio hivyo tena tusahau. Democrats wakiingia tu 2028 watabadili plans zote za kufavor FF (fossil fuels).
  5. sam2000

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mama ndiyo alikataa uwekezaji wa Dangote. Jamaa hatoi rushwa

    Hii mbona ipo wazi kabisa mkuu! Kuna jamaa nilikutana nao Ohio kwa Trump wapo kwenye gold wakasema kila mradi Bongo now lazima upitie kwa kijana mpendwa!
  6. sam2000

    JamiiForums Tanzania Marathon ya petroleum refineries Afrika mashariki na hatma ya Jumuiya yetu..

    Mkuu hakuna refinery itajengwa hapo Tanga, hakuna!
  7. sam2000

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

    Hapo pa kukata directly hakuna kitu kama hicho nchi za wenzetu labda Bongo
  8. sam2000

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

    Mkuu wanatoa fedha kwenye account au unaletewa bill ulipe? Hizi nchi za wenzetu serikali tu kupata bank information za mteja ni mtihani ndio watoe kwenye account moja kwa moja, halafu kuna ile kukosea au unaenda kudispute sasa hapo inakuwaje. Nilitaka kushangaa hakuna kitu Kama hicho
  9. sam2000

    JamiiForums Tanzania Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Kazaliwa kwa Trump au nje nini, yani anongea kama mtu hajawahi ishi Bongo🤣
  10. sam2000

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

    Ashindwe tu mwenyewe. mtoto analips za kula muhogo huyu
  11. sam2000

    JamiiForums Tanzania I am All In..! Liwalo na liwe, nimewekeza Tshs 70m leo na kununua hisa za NMB soko la hisa la Dar es salaam, let's see

    Safi sana mkuu. Kuna jamaa alinipa somo kama unataka kuweka million 100, usiweke yote pamoja. Igawanye kwenye mafungu mfano kama 10. Halafu kila mwezi unatupia hiyo. Kuna batches zitakuokoa na kushuka. Nilijaribu mwaka jana na ni kweli kabisa mwisho wa mwaka nilikuwa on positive end.
  12. sam2000

    JamiiForums Tanzania Kwa Tabia hizi za kuacha kazi nina matatizo au?

    Safi sana. Acha nimwambie afatalie. Niwapeleke yeye na rafiki yake wamalize waanzishe sehemu yao.
  13. sam2000

    JamiiForums Tanzania Kwa Tabia hizi za kuacha kazi nina matatizo au?

    Mkuu hawa jamaa bei zao zimefika wapi? Nataka kumpeleka dogo akasomee kutengeneza toyo
  14. sam2000

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: China inavutia sana. Ninawahimiza sana watu kutembelea huko

    Nilitaka pia kumuuliza China wapo na some of the most advanced mines huko kwao kwa hiyo wanatumia hizi pump za mzungu?
Back
Top Bottom