Recent content by Salvatory Domician

  1. Salvatory Domician

    Awamu ya nne viongozi wa CCM wanarudi kazi ya ufisadi iendelee

    Wacheni unafiki. Kwani kuna wakati ufisadi ndani ya ccm uliisha? Trilioni 1.5 zilizopigwa mpaka CAG akatimliwa ilikuwa awamu gani? Au kwa kuwa zilikuwa zinapigwa watu wamefungwa midomo na kuimbishwa mapambio ya kijinga ya kuunga mkono juhudi, ndo mnajitoa ufahamu kuwa wapigaji wamerudi kwani...
  2. Salvatory Domician

    Simba vs ruvu shooting: Hii Sasa ndio fixed match

    Anaumwa ushabiki maandazi huyo mwache aumie. Yaani anafungwa Ruvu unaumia wewe, unaanzaje kwa mfano.?
  3. Salvatory Domician

    Simba vs ruvu shooting: Hii Sasa ndio fixed match

    Yanga alipokuwa anagawiwa magoli na dada yake sinhida big stars ulikaa wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. Salvatory Domician

    Kibu Denis atafute fani nyingine, mpira wa miguu hauwezi

    Usisahau alipewa uraia na serikali ili aisaidie timu ya taifa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  5. Salvatory Domician

    Niliposema tena kwa Kujiamini 100% kuwa Kocha Nabi atafukuzwa Yanga SC nilikuwa ninamaanisha

    Aende tu maana ujuzi wake umekomea kuwa unbeaten ya namungo na mtibwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. Salvatory Domician

    Tafuteni

    Isaya 34 16 Tafuteni katika kitabu cha Bwana mkasome; hapana katika hao wote atakayekosa kuwapo, hapana mmoja atakayemkosa mwenzake; kwa maana kinywa changu kimeamuru, na roho yake imewakusanya.
  7. Salvatory Domician

    Chama ni mchezaji wa game ndogo

    Uyanga unakutesa
  8. Salvatory Domician

    Juma Mgunda afungiwe kufundisha mpira ligi kuu Tanzania

    Umechelewa kutoa maoni maana kanuni za uendeshaji wa ligi zimeshapita. Ungekuwa na akili inayoona mbele ungeliliona mapema na siyo kusubiri limeshatokea. Kumbuka kuwa sheria inayotungwa kwa sababu ya tukio fulani huwa haitumiki kulihukumu tukio hilo, bali hutumika kwa matukio kama hayo...
  9. Salvatory Domician

    Kama habari hii ni sahihi, basi Mbowe yuko sahihi kutuita lile jina

    Ujinga tunao tena si kidogo. Wewe uliona wapi mambo haya katika nchi zingine? Utozwe kodi ya mapato, utozwe kodi kwenye kila bidhaa unayonunua, kisha utozwe tozo kwenye miamala ya mitandao halafu wakufuate mpaka kwenye pesa ambayo waliikata kodi siku ulipolipwa mshahara, halafu wewe unakenua...
  10. Salvatory Domician

    Nimeamua Kukisanua: Hii ndiyo sababu ya Jezi za Simba SC kutozinduliwa hadi leo

    Utopolo hamnaga jema. Kutwa kucha kama wanga kushupalia ya wenzenu na kutia choncho kwa yasiyowahusu. Huo uwongo wako mimi naukanusha kwa kuwapa habari za kweli kwamba sababu ya jezi kuchelewa ni kuzirudisha kiwandani kubadilisha nembo ya mdhamini maana tangu mwanzo simba ilijua itamalizana na...
  11. Salvatory Domician

    Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?

    Yaani Maulidi kitenge alihama kwenye utangazaji akataka kuwa wakili wa Manara bila kujua kuwa anayemtetea ameshachafuka.
  12. Salvatory Domician

    GE2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Imenichukua dakika kadhaa kufikiri kama mwandishi anaishi Tanzania. Baadaye nikagundua kuwa huenda anatafuta uteuzi ili kuganga njaa. Any way katika msafara wa mamba kenge hawakosekani twende tu hivyohivyo lakini tusisahau ule msemo wa wahenga kuwa kila mchuma janga hula na wa kwao.
  13. Salvatory Domician

    Tundu Lissu: Sijasaini nyaraka yoyote TLS toka nipigwe risasi

    Chama Cha Mumiani mabwege sana. Wanatamani kumpindua hata Muncu ili wao ndo waabudiwe na viumbe vyote. Hivi hawajatosheka na kununua madiwani na wabunge wa upinzani badala yake, hata TLS nayo inawatoa udenda???!!!
  14. Salvatory Domician

    Swali kwa wanaume wote wenye mke mmoja

    Swali hilo halijibiwi kiuanaume bali kiimani. Mwabadamu amepewa kuyatawala maumbile na siyo maumbile kumtawala. Kwa hiyo unapowaza kuwa na wake wengi kwa dharura, dharura hiyohiyo ifikirie kwa mke au wake zako. Hapo ndipo linapokuja swalia la kujitoa, kujikana nafsi na kuutiisha mwili.
Back
Top Bottom