Hakika mjinga wewe. Uliangalia wakati Ben lowassa anazikwa? Pemben kulikua na majeneza matatu hayajafukiwa vipi yale ni mapambo au?
Pia kama mazishi yanafanyika usiku unataka hizo maiti zipelekwe wapi?
Link:
Njia ya Kwanza ni Kwa kutumia auto Modem Unlocker
Hii njia effective ila kwa baadhi ya modem inaweza ikagoma (kma modem yako itagoma bac ruka na fuata njia inayofatia hapa chini).
Mahitaji
1.Computer yeyote ile iwe na uwezo wa kuconnect internet
2.Auto modem Unlocker(link hapo chini)
Hatua za...
Nilikua nasubri majibu hayo maan nimemueleza hyo njia haifnyi kaz akabisha ngja tuone atasemaje.
Akikujibu ufnye nn nishtue nipo kwa makame hpa nakula urojo
McMahoon njoo huku ulete majibu
Hyo ni CDMA mkuu cha kufanya nenda duka zantel waambie nahtaj laini ya CDMA watakupatia huwa inagharmu kma elfu10 hvi.
Kumbuka CDMA moderm haiwez support GSM SIM card kwa hiyo solution pekee ni hiyo.
Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.