Hii ndio jf bana kwenye gazeti la mwananchi nimeona wameandika PEPSI wanataka kuanzisha PEPSI COLA na wajitangaze kupitia jezi za YANGA Kwa milioni 300!
Lakini hilo halitowezekana ikiwa Azam watakubaliwa kuonesha ligi kwa vile AZAM nao wana Azam Cola ambao ni washindani wa PEPSI!
Nashangaa Micheweni imewakilisha PEMBA yote au habari inaendelea? hv ukisema wilaya ya mpwapwa kuna ukame na ni masikini je inawakilisha Tanzania nzima?
Mm naona watu washaanza kujiona matajiri na kuanza kushutumu mara wachawi, wafuga majini, wasiopenda kufanya kazi!
Hivi hawajasikia ripoti...
Najitokeza kwenu wana jf kuuliza swali langu hivi:-
kwanini matairi yote duniani yanatengenezwa kwa kutumia rangi nyeusi?
Ukiangalia matairi ya gari,ndege,baiskeli n.k
Hv kwanini hayatengenezwi kwa rangi nyingine kama nyeupe,nyeusi,nyekundu n.k
Naombeni jibu jamani km yalishawahi...
TBC Leo wameonyesha ile taarifa ya pinda kulia si ikagongana na lori ikazama mpaka ndani ya maji ni uhai kwa sisi tusiojua zaidi ya Obama kuna serikali mpaka jana nikarudi nikauliza aliyeng'oa jimboni amepata wangapi pale hospitalini nijibu wewe?
Habari zilizotufikia sasa hivi kupitia mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, zinasema kwamba leo ifikapo saa 1:00 za jioni kutakuwa na giza kubwa kutokana na jua kuzama upande wake wa magharibi!
shime wananchi mkumbuke kuwasha taa zenu mapema.
Mm nishafikisha!
Taifa ambalo hampiki vizuri wala hamfagii mpaka aje mgeni!
Tabia ya wananchi mpaka serikali!
Kweli ndege wenye mbawa zinazofanana wanaruka pamoja!
Sijui tumerithi hii tabia au Mungu katuchagua tunaofanana tabia katueka pamoja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.