Recent content by salum kazumbe

  1. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania Kikwete na familia yako na Kamati ya Maadili hamtaikimbia aibu hii mliyoitengeneza

    Wana bwebwe zamaneno hao tumepata jembe nyie tulieni nini
  2. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania Uncofirmed: Magufuli ameibuka kidedea, kuipeperusha bendera ya CCM

    Kwamara yakwanza Tanzania Tumepata jembe la ukweli
  3. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania Mbatia: CHADEMA wakivimba kichwa kuwa UKAWA ni CHADEMA watatandikwa vibaya na CCM

    nawajiangalie wakishindwa kusibitisha wanacho kisema watagaragazwa vibaya
  4. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania Mbatia: CHADEMA wakivimba kichwa kuwa UKAWA ni CHADEMA watatandikwa vibaya na CCM

    Hao ukawa hilo nijinatu kutaka kuchanganya watanzania ila ukiwataza hakuna cha ukawa wala nini hapo
  5. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya DSTV Bei Juu Kuanzia Julai Mosi, 2015

    Da poleni sasa nyie mnaio tumia dstv mana sisi wengine yakwetu machotu
  6. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania Seif Sharif Hamad akataliwa kuingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi

    CCM zanziba hawana nguvu kabisa huyu sefu ana shidwa wapi
  7. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania Seif Sharif Hamad akataliwa kuingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi

    Mimi nashindwa kuelewa anashindwa wapi kuwa raisi wa zanziba wakati mambo yote yako wazi au kanywa uji wa mgojwa huyu
  8. salum kazumbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili la sivyo mwanamke atakukoroga maisha yako

    Hiyo akili aliyo sema musa ni ukiona kaaza kuzinguwa mpige chini mana hawa fugiki hao
  9. salum kazumbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili la sivyo mwanamke atakukoroga maisha yako

    Wewe mtu kama wema utampa nini ili atuliye hata ugonge hadi utoboe Yule hatulii
  10. salum kazumbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili la sivyo mwanamke atakukoroga maisha yako

    Hakuna lolote wanawake nima kunguru tu hata umpe nini utenge muda Gani atatoka tu
  11. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania Mke wa Kafulila, Bi. Jessica Kishoa akamatwa na Polisi

    Hawa wafanye wajuwavu ila wajiandae kukabithi nchi kwa ukawa
  12. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makongoro Nyerere wapata Ajali Kasulu - Kigoma

    Twende baba hadi kieleweke
  13. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makongoro Nyerere wapata Ajali Kasulu - Kigoma

    Tayari wameanza ajiweke sawa viginevyo tunamsahau sasa ivi
  14. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalinyoosha bunge

    Yani hawaviongozi wa ccm wanakuwa kama wame lazimishwa kuiogoza hiinchi
  15. salum kazumbe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalinyoosha bunge

    Kama nchi imesha washinda sibora wawaachie wengine
Back
Top Bottom