Mh. Masaju amesema oparesheni UKUTA ina maneno ya kijeshi, sio neno "UKUTA" ina maneno ya kijeshi. Anamaanisha baadhi ya maneno yanayotumiwa na wahamasishaji ni ya kijeshi au kivita. Na hii inakiuka katiba na sheria ya nchi pale unapohamasisha uasi. one should not allow to incite people to rebel...
Kama uko mbali na KATIBA Ibara ya 30 (2) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inasema kama ifuatavyo:
30.-(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki...
CHADEMA wanataka kuandamana kwasababu wamekatazwa kufanya mikutano ya hadhara ya kuzunguka nchi nzima.
Swali la msingi la kujiuliza ni je mikutano hii ya viongozi wa CHADEMA kuzunguka nchi nzima baada ya uchaguzi ina uhalali wa kisheria?
Au swali jingine la kujiuliza ni kuna tofauti gani kati...
Nilitegemea utanijibu kwa kifungu kinachohalalisha UKUTA lakini cha ajabu unanikumbusha ziara za KINANA.
Waingereza wana msemo wao "two wrongs don't make it right"; Nikikuibia usipoenda kushitaki polisi, haimaanishi na wewe ukiniibia sina haki ya kushitaki polisi, wala huko polisi huwezi...
CHADEMA wanataka kuandamana kwasababu wamekatazwa kufanya mikutano ya hadhara ya kuzunguka nchi nzima.
Swali la msingi la kujiuliza ni je mikutano hii ya viongozi wa CHADEMA kuzunguka nchi nzima baada ya uchaguzi ina uhalali wa kisheria?
Au swali jingine la kujiuliza ni kuna tofauti gani kati...
Hii kasi yao baada ya kupitia oparesheni nyingi (sangara nakadhalika) ambazo huwa zinaishia hewani au angani, sasa wamekuja na UKUTA. Kasi yao ni ya ajabu inaweza kupotea oparesheni UKUTA hewani au angani. Kila nikiona kasi yao inanikumbusha wana mazingaumbwe, hawa wanauwezo wakutumia mikono yao...
CHADEMA wanataka kuandamana kwasababu wamekatazwa kufanya mikutano ya hadhara ya kuzunguka nchi nzima.
Swali la msingi la kujiuliza ni je mikutano hii ya viongozi wa CHADEMA kuzunguka nchi nzima baada ya uchaguzi ina uhalali wa kisheria?
Au swali jingine la kujiuliza ni kuna tofauti gani kati...
CHADEMA wanataka kuandamana kwasababu wamekatazwa kufanya mikutano ya hadhara ya kuzunguka nchi nzima.
Swali la msingi la kujiuliza ni je mikutano hii ya viongozi wa CHADEMA kuzunguka nchi nzima baada ya uchaguzi ina uhalali wa kisheria?
Au swali jingine la kujiuliza ni kuna tofauti gani kati...
Mimi naona mdahalo unaweza ukawepo juu ya kwamba polisi wameweka vikwazo vya msingi (reasonable restriction)
au sio, lakini hata katika mdahalo huu sioni CHADEMA kama wanaweza kushinda, kwasababu kama chama cha siasa hawana sifa wala nyenzo za kufanya tathimini ya hali ya usalama. Sifa na...
Huyo Joachim Mwingira lazima aelewe rasimu kuchakachuliwa (kurekebishwa) sio kosa, kosa ni rasimu kutowakilisha matakwa ya watanzania walio wengi.
Sasa kuna ushahidi gani KATIBA inayopendekezwa sasa hivi kwa wananchi haiwakilishi matakwa ya wananchi walio wengi?
UKAWA inasema kujadili serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.