Recent content by sallykidume

  1. sallykidume

    Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya za Tanzania Bara

    Halmashauri ina wataalamu wa kila fani. Changamoto ya Mkurugenzi ni namna bora ya kuwatumia wataalam waliopo ili kuleta tija
  2. sallykidume

    MAREKANI: Mtanzania mcheza Mpira wa Kikapu, Samson Bidan afariki dunia baada ya kutumbukia mtoni

    Apumzishwe kwa amani..... kaenda lini huko Marekani bila kujua taarifa zake? au mzaliwa wa huko!
  3. sallykidume

    Kifo cha kampuni ya mabasi SCANDINAVIA EXPRESS

    ni masikitiko makubwa, ni kampuni ambayo nilikuwa naitumia sana kwa safari zangu za humu nchini. Sumaye alikuwa na mkono wake sana pale, alivyoondoka tu, aliondoa shea zake na baadhi ya mabasi yaliuzwa kwa kampuni ya Mohamed Trans. Mbeleko ya Sumaye ilivyo achia wameshindwa kuhimili.
  4. sallykidume

    JK na simu ya mkononi

    ni kawaida kabisa hakuna tatizo, labda tatizo mli create ninyi
Back
Top Bottom