TANGAZO TANGAZO
HAKI SECONDARY SCHOOL
P.O.BOX 2294 TANGA
Shule imesajiliwa kwa namba S1553. Ipo katika halmashauri ya Jiji la Tanga kata ya Nguvumali.
Ni shule ya bweni na kutwa kwa wavulana na wasichana.
Ada ni Tsh 1,550,000/= kwa mwaka kwa bweni. Inalipwa kwa awamu TATU kama ifuatavyo...
Kutokana na kazi yangu, nahitaji fuso tiper iliyotumika, ila sina cash, naihitaji kwa mkataba kwa muda wa miaka miwili. Kila mwezi ni Tsh mil 2, kwa mwaka ni sh mil 24.
Onyo! Sihitaji dalali, ambaye yupo tayari tuwasiliane kupitia 0656820092.
Please, naomba tuzingatie maelezo.
MAMBOSASA AMEIBUA MASWALI MAGUMU 12 KUHUSU KIFO CHA LWAJABE
Inasadikika kuwa Leopold Lwajabe, aliyekuwa Mkurugenzi wa miradi ya Umoja wa Ulaya nchini (EU) katika Wizara ya Fedha na Mipango, ambaye alikutwa ananing'inia mwisho wa wiki, kabla ya kifo chake alilazimishwa kuandika wosia, wahusika...
Wakuu kama kuna mtu ana gari aina ya fuso au canter ambayo ni tipa na ambayo imetumika hapa nchini, kama atakuwa anauza naomba tuwasiliane 0678178694
Onyo sihitaji dalali, nataka mmiliki hasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.