Search results

  1. Salimu Panzi

    Mwaka wa masomo 2019 unakaribia mwisho, tujiandae kwa mwaka mwingine wa masomo 2020

    TANGAZO TANGAZO HAKI SECONDARY SCHOOL P.O.BOX 2294 TANGA Shule imesajiliwa kwa namba S1553. Ipo katika halmashauri ya Jiji la Tanga kata ya Nguvumali. Ni shule ya bweni na kutwa kwa wavulana na wasichana. Ada ni Tsh 1,550,000/= kwa mwaka kwa bweni. Inalipwa kwa awamu TATU kama ifuatavyo...
  2. Salimu Panzi

    Inahitajika Tipa domestic used

    Kutokana na kazi yangu, nahitaji fuso tiper iliyotumika, ila sina cash, naihitaji kwa mkataba kwa muda wa miaka miwili. Kila mwezi ni Tsh mil 2, kwa mwaka ni sh mil 24. Onyo! Sihitaji dalali, ambaye yupo tayari tuwasiliane kupitia 0656820092. Please, naomba tuzingatie maelezo.
  3. Salimu Panzi

    Nimelazimika kusubiri mazishi ndio tujaribu kuangalia ukweli wa kifo chake

    MAMBOSASA AMEIBUA MASWALI MAGUMU 12 KUHUSU KIFO CHA LWAJABE Inasadikika kuwa Leopold Lwajabe, aliyekuwa Mkurugenzi wa miradi ya Umoja wa Ulaya nchini (EU) katika Wizara ya Fedha na Mipango, ambaye alikutwa ananing'inia mwisho wa wiki, kabla ya kifo chake alilazimishwa kuandika wosia, wahusika...
  4. Salimu Panzi

    Tipa inahitajika

    Wakuu kama kuna mtu ana gari aina ya fuso au canter ambayo ni tipa na ambayo imetumika hapa nchini, kama atakuwa anauza naomba tuwasiliane 0678178694 Onyo sihitaji dalali, nataka mmiliki hasa.
Back
Top Bottom