Mbona hakusema ndani ya bunge la katiba wakati yeye alikua mjumbe mbona ujasiri wake hatukuona ndani ya bunge la katiba mama wewe tuache tu wa tz wasasa tumesha jua katiba yetu ni ipi viva babu warioba
Hili jini ccm mwisho wake ushafika asante jk kwa kulinda mafisadi ili wananchi na sisi tufanye mamuzi magumu mwakani tena nasema mwaka 2014 nindazako tena undoka haraka sana 2015 njoo fasta ukawa pasha misuli moto
Hivi jamani hawa wazee wa mkoa wa Dar es salam ni kinanani hao katika taifa letu? Sisi wengine tuna jua wazee wazalendo ni wale kina marehemu Rupia, mshamu, Dosa azizi mduly wahidi sesky na wengine wote wazee wa tanu walio kua wakitetea haki za wanyonge hadi wengine walikua wakitoa pesa zao...
Magamba mkae mkijua sasa watanzania sasa hatuogopi vitisho tunahitaji mabadiliko tu coz haki hupiganiwa na sasa watanzania tupo tayari kupigania haki kuliko kupiga magoti na kusujudu kwa mafisadi viva kamanda lema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.