Anahitajika ajili ya kurekebisha TV tatu; mbili sumsung na moja panasonic. Mbili zinahitaji card mpya na nyingine vifaa kadhaa kuipa uwezo wa ku boot. Alipatikana fundi lakini inaonekana wengi ni matapeli kwani aliingia mitini na pesa za kununulia vifaa; ni zaidi ya siku kumi sasa yuko kwenye...
Awe na Advanced Diploma au zaidi na awe computer literate; awe na uwezo wa kutumia accounting packages kama Tally, Myob, nk. kwa ajili ya duka la jumla na rejareja hapa Dar. Mshahara ni makubaliano ila sio chini ya viwango vya serikali kwa kada husika- ubunifu katika matumizi ya computer ni sifa...
sidhani hata kama habari hii itamfikia; mimi lakwangu lina miaka mitatu hapo manipaa ya Bagamoyo nazungushwa na kakijana kanaita Kelvin ambako ndio kalinifanyia upimaji wa viwanja vyangu Kaole halafu kakarudi mgongoni mwangu na kuanza kupimia majirani kuingia ndani ya eneo langu ili hatimaye...
Tanzania na hata sehemu nyingi ulimwenguni hakuna mazingira yanayoashiria umuhimu wa kuwepo vyama vya upinzani. Mahali popote ambako theluthi mbili ya wananchi hawajaichoka serikali yao upinzani ni Saccos
Inahitajika software Nzuri ya kufanyia Mauzo Kwenye duka ya wholesale na retail; Iwe na uwezo wa kuandaa requisition, purchase orders na iwe integrated na financial reports; Teamviewing essential
Tuwasiliane 0754 84 33 88
Ndugu zangu mimi sijui hata ni kwa nini tunashabikia haya mavyama ya upinzani ya kijinga jinga tu; tusithubutu hata kidogo kukabidhi uongozi wa nchi kwa mivyama michanga tena ya ovyo ovyo namna hii tutapata shida sana. Nchi lazima iendelee kuongozwa na chama imara kilichokwisha komaa kwenye...
Tunao utamaduni wa kutawalana ambao unaainisha kuwasilsha kero kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi juu lakini bado tumeendelea kuona wananchi wakisimamisha misafara ya viongozi hasa Rais na waziri mkuu ili kutoa kero zao na wakati mwingine kuvamiwa mikutano yao kwa mabango yenye kero mbalimbali...
Mimi naona mijadala yote kuhusu hili jambo iko nje ya box; HIVI SHIDA NI JINAI YA KUFOJI AU SHIDA NI AINA YA UTUMISHI? Aina ya utumishi inahalalisha jinai? Inawezekana bado niko usingizini au idadi kubwa sana ya watu bado iko usingizini
Nani hajui upinzani upo kwa ajili ya kutafuna ruzuku? Mkuu anawadhibiti tu wasije kuwa wengi mno bungeni kutia hasara ya mijiruzuku mikubwa ya kutafuna ovyo
Nani hajui upinzani upo kwa ajili ya kutafuna ruzuku? Mkuu anawadhibiti tu wasije kuwa wengi mno bungeni kutia hasara ya mijiruzuku mikubwa ya kutafuna ovyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.