Recent content by Sales Agents

  1. S

    Material za shule za sekondari: Kwa mahitaji tuwasiliane

    Kuna mtu ameniuliza kwenye namba ya simu kama ni notes ama maswali na majibu ndo tunazo, na zipo kwenye format gani. Sasa, kwa ajili ya wengi naomba tujibu hapa: Tunaandaa both notes and questions with answers kwa wanafunzi tu hasa kwa ajili ya mitihani ya Taifa ya Form II na IV hasa hasa kwa...
  2. S

    Gharama za kuchapisha kitabu

    Tucheki wasapu 0745515152 au piga
  3. S

    Material za shule za sekondari: Kwa mahitaji tuwasiliane

    Kijana, Usipende kufeli kizembe zembe, kijinga jinga, kibwege bwege, kifala fala fulani hivi. Majira haya ya kiangazi utapeleka wapi div 3, 4 ama 0?. Ukianza maisha ya kujitegemea ndio utajua namna gani div 3 na 4 yako inavyokuvuta shati lako kwa nyuma. Sasa fanya hivi, kamata 'tirio' nyoosha...
  4. S

    Natafuta Kazi za yoyote halali

    cc beautifulonyinye enewei nicheki inbox kuna kazi ya commission
  5. S

    Naomba nikufanyie kazi kwa Uaminifu ili nipate mtaji

    Oooohhh watu kama nyie ndo mmekosekana sana kipindi hiki. Safi sana, nimekuelewa. Fanya hivi, nicheki. Nakupa kazi tena very relaxed ishu kubwa ni target, lazima u meet target tutakayokubaliana, and you will get the money. Kama uliweza kuishi maisha very risk kiasi mile basi hii ndo...
  6. S

    Kwa wale waliopo serious kusaka maisha. Hii ni fursa, msaka maisha kamwe hachagui kazi.

    Hafu unajiita ubongo kid hahahahaha. Itakuwa hilo dili sio size yako wewe
  7. S

    Kwa wale waliopo serious kusaka maisha. Hii ni fursa, msaka maisha kamwe hachagui kazi.

    Acha hizo bana hahahah. mm nimetaja tu kama fursa mtu anaweza kukamata badala ya kujikalia bure maskani
  8. S

    Kwa wale waliopo serious kusaka maisha. Hii ni fursa, msaka maisha kamwe hachagui kazi.

    Achana na vitabu. Tuchukulie kwa wale wanaoishi dsm. Kipindi cha mvua kama hiki. Mhindi mmoja unauzwa sokoni sh 350 kwa baadhi ya masoko. Unanunua labda mahindi 80 mtaji waks sh. 28000 (sijaweka jiko na mkaa wake) Mhindi mmoja unatoa vipande 3 kila kipande sh 200 ama tuseme mhindi mmoja utauza...
  9. S

    Kwa wale waliopo serious kusaka maisha. Hii ni fursa, msaka maisha kamwe hachagui kazi.

    Usisahau Mkapa rais mstaafu jana kasemaje kuhusu elimu. Elimu inaelekea kubaya na ipo kubaya, so nguvu za ziada ni muhimu kunusuru.
  10. S

    Kwa wale waliopo serious kusaka maisha. Hii ni fursa, msaka maisha kamwe hachagui kazi.

    ....... cha Biology. Unanunua japo vichache tu kwa mtaji usiozidi sh. hata 8,000 halafu unaingia kwenye maduka ya mangi na kuziuza huko na wanafunzi watanunua huko. Kumbuka sisi ni Sales Agents kuna fursa nyingi tunakutana nazo.
  11. S

    Kwa wale waliopo serious kusaka maisha. Hii ni fursa, msaka maisha kamwe hachagui kazi.

    Tunakaribia kutumiza robo ya mwaka 2018. Mwaka unaendelea kuyoyoma tu hata 10 hujaingiza na bado upo comfortable ukisubiri maisha mazuri. Kuna fursa hapa ya kuuza vifurushi vya masomo mbalimbali ya sekondari. Vifurushi ni nini? Ni kijitabu kidogo chenye kusheheni mada / topic moja iliyoandaliwa...
  12. S

    Jinsi ya kupata uwakala wa mitandao ya simu

    Kwa kifupi hatua ni hizi: 1. Uwe na TIN ya biashara 2. Uwe na Leseni ya biashara 3. Uwe na kitambulisho kinachotambulika kitaifa mfano passport, driving licence, cha uraia, cha kupiga kura, n.k. Halafu toa copy nyaraka zote na ku verify then submit kwa dirisha la mtandao linalohusika na...
  13. S

    Nahitaji Betri ya Simu aina ya HTC

    Zinapatikana, ngoja nikuangalizie na bei. We upo wapi?
Back
Top Bottom