Unajua hii kitu haijawhi kutokea katika nchi yeyote duniani kumyima mwanchi wake Haki na kumpa mgeni Botswana wamezuia uwindaji kwa wageni na kuwaruhusu wananchi waendelee na uwindaji
Nimemsikia waziri nyalandu katika hotuba yake leo wakati wa uzinduzi wa Bodi wawanyama pori akipiga marufuku uwindaji kwa watanzani kwa miaka miwili eti kuzuia ujangili ila kwa Wageni waendelee kuwinda nani asie jua kua waziri nyalandu anatumiwa na makampuni wa Wageni ya uwindaji kwa ufisadi wa...
Uongozi wa tanesco arusha hufai kabisa wala hawashughulikii Matatizo ya Wateja wao sisi Wakazi wa kimandolu manispaa ya arusha haruna umeme leo ni Siku ya tano tumepeleka tarifa kwenye ofisi ya tanesco jibu walio tapatia eti transfoma imeungua na hawana transfoma nyingine ya kuibadili hivi kweli...
Nauza iPhone 4s imetumika na samsung Galaxy nayo imetumika zote zipo katika Hali nzuri zipo hapa arusha iPhone 4s nauza laki 400,000 na Galaxy tab laki 500,000 kama unahitaji piga Simu 0777 777733 au 0682 898989
Unajua unavyo toa maelezo ya we na ukweli halo upanga nani ataweka twiga Ndani ya Nyumba urefu wa twiga Kilauea mtu akipita barabarani atamuona hicho kitu hakiwezekani kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.