Kuna watu ambao kufikiri kwao lazima utilie mashaka sana hasa unapokuwa na uhuru. Wewe umekalia ujinga wa kutegemea mzungu. Inaonesha badala ya kujishughulisha na kupambana na hali yako umekalia kuandika kwenye mtandao tu.
Nadhani umelewa pombe. Mwanza unasema jiji wanajitahidi kwa miundo mbinu gani ya haja barabara zote zimekatika na mvua. Jiji hili la walaji tu hasa watendaji wake
Wacha wakapate haki yao huko.TFF imejaa uzandiki unafiki na upendeleo wa wazi. Mwaka jana AZAM F.C walipokwa pointi tatu bila hiyo timu pinzani iliyocheza nao bila hata kukata rufaa ya kupewa pointi tatu. Walifanya hivyo ili AZAM F.C izidiwe pointi na timu ya Yanga timu ya Rais Malinzi.
TFF ya Malinzi iibebe Yanga tena maana hawana hata haya. Maamuzi ya kamati bado hayajakamilika kutoa pointi kwa Kagera Sugar bila kuwataarifu Simba SC kwa maandishi kuwa wamepokwa pointi.
Kitu ambacho kinatakiwa kwa Kamati ya Katiba Sheria na Hadhi ya wachezaji ni kuwaambia watanzania kuwa Fakhi alikuwa na kadi tatu au la. Hii ndiyo inawafanya watanzania kushabikia Timu za Uingereza. Maana bingwa anayepewa kila mwaka akienda kwenye mashindano ya kimataifa ni mapema anarudi na...
Malinzi kama Rais wa yanga wakati huo alishindwa kuwafunga simba sc. Sasa ndio anaona ni wakati wake kuiadhibu Simba SC. Hata huyo Mwesiga sijui katokea wapi kama si Yanga. Mpira Tanzania msahau kama Malinzi pamoja na Mwesiga kama watendaji wa juu wa TFF. Karibu wanamaliza wakati wao hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.