Recent content by Sakka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi serikali za mitaa mji mdogo USA River

    Habari zilizonifikia hivi punde, kutakua na uchaguzi wa serikali za mitaa mji mdogo USA River, tulifanya uchaguzi hapa mwaka 2012 kwa maana hiyo tutakua tumekaa miaka mitatu tu badala ya mitano, wamefanya hivyo kwa kustukiza ili waweze kuchukua mji kutoka kwa CHADEMA, lakini watakua wamebugi!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuchangia CHADEMA kwa njia ya M-PESA

    nyerere walichangishana sumni ,sijui kama unaifahamu , kwa maana ilikua bado aujazaliwa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

    ya ccm yalisomwa lini?mchango wangu kwa chadema nitatoa kwa m-pesa Leo usiku.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Mamlaka kamili ya Zanzibar yanakuja awatoa hofu Wazanzibari

    picha basi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Mamlaka kamili ya Zanzibar yanakuja awatoa hofu Wazanzibari

    ngoma inogile tupia picha basi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kashilila: Orodha Ya Waliopitisha Katiba Pendekezwa Imekosewa, Itarekebishwa

    itabidi kura ziesabiwe upya
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kashilila: Orodha Ya Waliopitisha Katiba Pendekezwa Imekosewa, Itarekebishwa

    eti wino wa gold
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kashilila: Orodha Ya Waliopitisha Katiba Pendekezwa Imekosewa, Itarekebishwa

    kama wamekosea ,kura zitakua zimepungua?
  9. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya mkutano mkubwa leo jijini Arusha

    nipo kwa mrefu ndo naelekea huko kumfuta ole mideye kabisa.
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya mkutano mkubwa leo jijini Arusha

    watu wa moshi walishaelimika siku nyingi!
  11. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya mkutano mkubwa leo jijini Arusha

    ndesamburo alipatikanaje kama mikutano aikufanyika?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

    tupia picha
  13. S

    JamiiForums Tanzania Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

    wamemiminika mpaka dodoma.kazi hakuna
  14. S

    JamiiForums Tanzania Imefahamika, hapa ndipo kura za ndiyo za Zanzibar zilipotoka

    mawakala wa kuesabu kura mnaimani nao?
Back
Top Bottom