Naww hujitambui kabsa maana iyo chunya na kyela unazozisifia hapo kwamba ni Bora kuriko Rungwe
Kumbe huijui mbeya vizuri iv Kuna mwaka umewahi kuona kyela au chunya zimeipita Rungwe ya magharibi mapato bila ata kunchanganya ata na ile Rungwe mashariki
Jitafakiri kwanza ndo uandike mamb yako
Daaaa elim n kitu Cha msingi sana
Kwaiyo ww unazan GDP ndo kipimo perfect chakupima standard of living mungu akusaidie maaana unasafali ndefu sana mpaka uje kufika
Kwan huko dar kwanzia magomeni ,manzese,mabibo,tandale,mbulahati,kigogo,temeke,kigamboni,mbagala,gongo la mboto,
Kuna mipango miji au unaongea Ili uonekane naww unachangia mada
Kwan Arusha kama mkoa n mwaka wangap Sasa ata shinyanga ,tanga na morogoro hamjawapita kimapato ya mkoa na angalia mbeya n mala ya ngapi IPO kwenye tatu bora
Daaaaa yaan Kuna watu itabid wapimwe ata akili zao kwel Rungwe ndo wilaya yakuambiwa wasomeshe watoto zako ktk taifa hili ambalo huwez kuwatowa wanyakyusa katika jamii za wasomi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.