Sio kipimo icho, ni kwamba kama imeshuka ivyo ni kwa sababu tu' mwaka huu umekuwa wa neema vyua za kutosha kila sehemu mavuno yamekuwa mengi lakini kilichosababisha bei kushuka ni nini hasa
1: wakulima wengi hasa hawa wadogo mwaka uliopita walikaanga kwa maana iyo mitaji ilikata ivyo wameingia...
Acha ujinga wewe nenda kajionee mji ulivyo sasa iv watu wananunua viwanja hadi mil.200 alafu unadai umepata pesa unaogopa kununuakiwanja kigoma! Utakuwa limbukeni wewe,
Una uhakika mkuu, mbona unahoja zisizokuwa na mashiko! Kwa maneno haya uliyoandika, imeonesha kabisa hujaitembelea kigoma, hao wachaga tu unaoeasifia fuatilia vzr wamekuha kigoma hawataki kutoka, kuna fulsa kule na pesa ipo
Umaskini upi unaouongelea mkuu, kwa maisha ya mtu mmoja mmoja waha wapo vzr labda hujui hilo kila angle utawakuta, we unaongelea umaskini kigoma watu wapo Kasulu wana export bidhaa kutoka ughaibuni, nenda kaangalie bei za bidhaa kule kama ni tofauti na DSM uje uniambie
Ivi nyie watu mmefika Kigoma kweli! Kama ndio kigoma maeneo yapi? Mnavyoviandika havina ukweli wowote haya ni mawazo ya kifashisti, mleta mada tuambie mkoa unaotoka kwanza alafu tuanzie hapo uzuri tumezunguka karibu nchi nzima hakuna sehemu unayiweza kutudanganya, huko unapopasifua labda utakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.