Recent content by Sajunne

  1. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

    [emoji1430]
  2. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    Kwanini unajinasibisha na uislam? Simama kama mtu unayepigania kitu
  3. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

    Wewe na wachumia tumbo wenzio ndio naendelea kusema inchi hii ni masikini, mwenzio leo ACT amekubali
  4. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Kikao cha dharura cha wanaume halisi; Kuanzia 2023 hakuna kuoa mwanamke mwenye mtoto

    [emoji12][emoji12][emoji12]
  5. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

    Nilichokigundua kwako ni chuki na roho mbaya wivu pamoja na husda. Kama huna chembe chembe za uchawi sidhani. Hoja zako zimemlenga hayati MAGU, Toa hoja zinazoeleweka
  6. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya kile tulichopanda

    Mimi pia ni mwanachama wa kutokuwaamini wanawake hata 1% yalishanikuta makubwa.
  7. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

    Robert,, unaitambua talaka kumbe!! Kumbe dini ya uislam ipo sahihi?
  8. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

    Kwa mkeka wako huu nimetamani kujua watu wako wa karibu yako ili nikufahamu vyema, tabia hizi zipo pote2 duniani, but mkeo kucheza kigoma uchi then ukachukulia poa tabia hiyo ni sawa na kuwa wewe mume una chembe chembe za ushoga.
  9. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Mbunge adai SGR itajengwa kwa miaka 81

    Naipenda Tanzania nchi yangu, lango kuu la wapiga dili. Wananchi wake ni sawa na Wanachi wa enzi za nabii Mussa, walikataa hadi msaada wa chakula cha bure kutoka kwa mungu
  10. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar tuwe na tahadhari kuhusu hofu ya Ebola, Tanganyika

    Mkuu Mada yako ni nzuri Lakini kwenye maelezo ina chembe chembe kubwa za ubaguzi wa watanganyika na wakwenu visiwani, siku nyingine chunga na zingatia uandishi wako, la sivyo utakuja pewa kosa la uchochezi bure
  11. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

    Wadangaji bana
  12. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

    Kahaba atahangaika sana kuweka vyema status yake
  13. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

    Ujana bana, Ila bi tukinao ujana alishaumaliza sasa alikuwa anahangaika nn wakati wa kupiga miti alikuwa nae
  14. Sajunne

    JamiiForums Tanzania Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

    Pumba
Back
Top Bottom