Recent content by sajo88

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    MATOKEO KAMA YANAVOENDELEA KUTOLEWA: Baada ya kuhesabiwa kwa asilima nane ya kura zote mpaka sasa, Uhuru Kenyatta anaongoza kwa 57.61% akifuatiwa na Raila Odinga 38.62%. Bado ni mapema endelea kusubiri kuna asilimia 72% ya kura bado hazijahesabiwa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanzishe na kumiliki News Media zao

    Wazo nzuri lakini kumbuka watoa vibali na hao wanaoipinga CHADEMA kwa nguvu zao zote kwa iyo si rahisi kwa wao kutoa kibali kwa media itakayobainika kuwa ina mlengo wa KICHADEMA CHADEMA.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hawatendei haki wapiga kura wake

    Kuna msemo wa kiswahili unasema 'Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe' nimenukuu uo msemo wa kiswahili ili kuwakumbusha ilo akina chebacheba na martyr2012. issue ilokuwa inajadiliwa ni 'Mwigulu Nchemba hawatendei haki wapiga kura wake' lakini jamaa naona wametwist na kuanza kumshambulia dkt...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

    DIRECT NA MOJA KWA MOJA....mnh aibu yao!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    kwanza hongera kwa kauchambuzi(kauchambuzi kwa sababu kamejaa hoja nyepesi sana kulizidi ilo chapuo unalolipiga) ulikokafanya kumhusu Mh. EL. Binafsi sina tatizo nae hata kidogo katika suala la utendaji na hilo amelithibitisha kwangu kwa kipindi kifupi tu alichopata kuwa PM nampongeza sana kwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa vyombo vya habari kuripoti hadharani malipo ya malimbikizo ya mh. Lema?

    kumbukumbu zangu zinaniambia haijawah kutokea vyombo vya habari vikawa na figure zinazofanana hata siku moja ivyo ni kitu cha kawaida tofauti za figure za leo pia hazikunishangaza. kuhusiana na kulipotiwa kwa malimbikizo ya mheshimiwa sioni tatizo kwa sababu yeye ni 'Public Figure' ivo ni haki...
Back
Top Bottom