Recent content by sajientia

  1. sajientia

    Ni miezi kadhaa sasa tangu tumeanza kuishi pamoja lakini sijui pesa zake anapeleka wapi

    Kuishi pamoja bila ndoa naamini si sawa mbele za Mungu. Lakini pia inategemea unamwombea kwa nani..
  2. sajientia

    Ni miezi kadhaa sasa tangu tumeanza kuishi pamoja lakini sijui pesa zake anapeleka wapi

    Jambo jema kuombeana. Kabla hujamwingiza kwenye maombi, inatakiwa uwe na uhakika wanaishi pamoja kama mke na mume au? Kama si hivyo basi inabidi kwanza wafunge ndoa takatifu ndio maombi yatafanya kazi vizuri.
  3. sajientia

    Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

    God's time is the best. Keep believing in God
  4. sajientia

    Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

    Hili jibu nimelipenda. Ubarikiwe mtumishi, next time ukijibu weka herufi kubwa kabisa YESU
  5. sajientia

    Acha kumlilia, yupo anaekupenda zaidi

    Kisa kizuri chenye mafundisho. Hii kitu ni kweli kabisa, mimi binafsi huwa nashindwa kuelewa unaanzaje kusema huwezi kuachana na mtu? Unamlilia yaani kweli? Sielewi kabisa. Mungu atusaidie na atupe ufahamu, kumlilia mwanadamu eti ameniacha siwezi fanya hiyo kitu. Thamani yangu ni kubwa sana na...
  6. sajientia

    Natafuta mchumba mwenye penzi la kweli

    Hiyo one night stand ni exception.
  7. sajientia

    Natafuta mchumba mwenye penzi la kweli

    Bado nastand na msimamo ule ule. Hakunaga kiroho safi lazima kuna mmoja aliumia tu. Yaani HAKUNAGA
  8. sajientia

    Natafuta mchumba mwenye penzi la kweli

    These things are in two sides whether uumize au uumizwe nukta. Sasa wewe kama huumizwi basi unaumza.
  9. sajientia

    Mapenzi yamesababisha urafiki wetu uvunjike

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . Huyo asimwonesha kabisa
  10. sajientia

    Natafuta mchumba mwenye penzi la kweli

    Wewe huwa unaumiza tu??
  11. sajientia

    Natafuta mme

    How do you take orphans, do you think they are beggers always?
  12. sajientia

    Mpenzi wangu anaota anaingiliwa kimwili usiku

    Hayo ni majini mahaba. Yanakuwa kama yamemwao katika ulimwengu wa roho tayari. Yanatabia ya kumiliki yaani hapo hayapendi hayo mahusiano yenu, mwisho wa siku yanaweza kuvunja hata mahusiano. Ni mabaya sana, dawa ni kumpeleka kwenye maombi aombewe yatatoka na baada ya hapi asimame mwenyewe katika...
  13. sajientia

    Simuelewiii huyu kaka

    Jizoeshe kumtafuta kila mara halafu baada ya muda kaa kimya kwa kuwa amezoea wewe kumtafuta kila mara ukikaa kimya atakuwa anakutafuta. If that won't work then know there is something behind that relationship. Work on that
  14. sajientia

    Huyu mdada vip?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimeshindwa kujizui jaman. Umenichekesha chaaa...
  15. sajientia

    Natafuta mpenzi (wa kike)

    Atafutaye hachoki,akichoka amepata. Endelea tu
Back
Top Bottom