Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga, katika vigezo vyoooote hiki kimoja tu ndo kimenihusu vingine hola nshakosa mume hivyo daaaaaa lkn mamaang mzee wa kanisa nifikiriage namm basi
 
Jamani bado nipo single au masharti ni mazito?
 
-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele mana mi mwenyewe...
-umri kuanzia 19-31
-tukikubaliana nitatuma wazee wangu process ianze.
-process itaanza,mipango ya ndoa lazima iwe kanisani.
-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga
-ndoa lazima kufanyika kabla ya November mwakani.
-Akubali kuja kanisani ,
-waliopo overseas nitawapa email makanisani,nitamkaribisha kanisani kwangu aje kutoa hata salamu.
Lengo lake iwe ndoa tu.

Mnakaribishwa warembo wenye sifa hizo,mi mkongwe humu ila huwa siingii sana unaweza kuni-PM namba zako za simu.
elimu form 6 Na masters hapo angeeleza mwanamke povu lingewatoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom