Wadau binafsi najiuliza sana na kubaki sina majawabu ninapoona wateule hawa baadhi ya ma DC wakikimbizana majimboni katika kipindi hiki cha chaguzi za chama kwajili ya kuweka mitandao yao ya 2020. Hivi ni kwamba nafasi za kuteuliwa walizonazo sasa ni ndogo sana ama?
Lakini wengine tunawaona...
Hakika huku ni kushindwa kabisa kabisa kuonyesha ueledi,usomi na ubunifu kwa waziri ndalichako.
1.WALIMU hao wamesomea mbinu, tabia,saikolojia kwa watoto wa umri wa angalau kuanzia miaka 13-18 nasio chini yahapo.
2.WALIMU wa shule zamsingi nao wamesomea mambo hayo kwa miaka 0-13 hivi.
HIVYO...
Nawashauri PSPF kuwa waungwana kutekeleza huduma wanazozingaza kwa wakati bila usumbufu kwa wateja wao kwani wana shida ya kuweka vikwazo vinavyoweza kuwakatisha tamaa wateja.
Mfano fao la uzazi limekuwa na usumbufu mkubwa hasa mikoani.
Pia ajirini watu competent huko mikoani au waliopo...
PSPF wamekuwa hawatoi huduma zifuatazo kwa wakati au hawatoi kabisa huku wakijitangaza kutoa huduma hizo
1.mafao ya uzazi
2.mkopo wa elimu ya juu
3.mkopo wa viwanja
Huduma zote hizo kwa wateja wa LAPF hupatiwa ndani ya wiki Moja au mbili LAKINI PSPF watakwambia daada ya miezi mitatu na...
Kwa miaka ya hivi karibuni naona LAPF wakiwapelekesha mno PSPF katika ushindani wa kutoa huduma zenye ufanisi na kwa kasi sana.mfano LAPF walianzisha huduma ziuatazo kwa wanachama wake na kuwalazimu PSPF kuiga ili ku compete kwenye soko la wateja ambao wengi ni watumishi wa serikali
1.fao la...
Binafsi sioni kazi wala majukumu yao ya kila siku ambayo yana tija kwa jamii.. tunatumia fedha nyingi kulipa mishahara bila watu hao kuwa na core function inayoeleweka,mkuu nashauri uiondoe hiyo,tunakutegemea hata sisi wa ukawa.
Kimantiki ni watu ambao binafsi sioni kazi zao wala msaada hasa katika shunghuli za kila siku,vinginevyo nafasi hizo nashauri mkuu azitoe na zibaki za watendaji wa kata pekee.
Yeah mzee alifanya watanzania wakafunguka aisee,lakin pia kuna tofauti kubwa kati ya kuongoza vs vyeti, mtu akiwa bachelor tu utagundua kama ana uwezo au kipaji cha uongozi
Ajiepushe na lugha chafu dhidi ya mamlaka,aidha awaone wana psychology ili wamjengee uwezo wa kukontroo hasira,tuheshimu mamlaka halali zilizopo.asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.