Recent content by SAIMON EDWARDI

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI

    Kwenye tangazo hawajaandika lugha wala kama ni handwrite au kutype
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Angaloa hilo tangazo hapo chini
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    .
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mbona kama naona watu wamepangiwa jeshi la polisi na post zimepitia utumishi kwenye hili tangazo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwahiyo wanatafutwa kimya kimya wale waliopata kama wa takukuru au hakuna cha pdf Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Kuna jamaa wanajiita UCDP Tanzania wapo morogoro i hope watakusaidia if you need them just check me ntakupa contact zao na terms zao thanks
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kurudiwa kutangazwa kwa nafasi za kazi za Assistant Lecturers

    Waache kuweka vigezo vya GPA kuna watu wana GPA ndogo na wako na talent ya kufundisha na wanasahau chuo watu wanafaulu kwa mengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NBS toeni tamko: Ulipaji wa pesa za semina za Sensa kuna uhuni unafanyika

    Ahaa watu tupo siku ya kumi na moja hata huo mkataba hatujui unarangi gani wala pesa hatujui zinanukia vipi utaratibu gani huu wa kazi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hawana tofauti na TEMEKE [emoji1787]
  10. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ndio brother na chuo cha serekali ndo nimemaliza
  11. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Msaada nikingiza namba ya form six inaniandikia hivyo shida ni nini na sijakosea kitu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Msaaada pia kwa course ya bachelor of social work kwenye chuo cha daresalamu haionekani kwa position ya ustawa wa jamii naombeni msaada
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Nkiri.com
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Ajira portal ukiweka qualification ya elimu ndo imetoka huwezi toa
  15. S

    JamiiForums Tanzania DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

    AHAA UONGOZI WA KUOSHEANA MBELE YA VYOMBO VYA HABARI NA WANANCHI DUU NOMA
Back
Top Bottom