Sasa kwani Zanzibar nchi? hata Tanganyika si nchi. Alichosema ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inaunganisha Tanganyika na Zanzibar usiwasemee wa Zanzibari wapo wanaomtaka na pia wapo wasiomtaka
Ndugu yangu kwa uelewa wangu TUZO hizo ni kwa ajili ya walioulea muungano mpaka hivi sasa, Warioba alikua waziri mkuu wa kwanza na ndio mmoja ya walioulinda muungano mpaka hivi sasa unapoonekana haufai. Wachache wasiokuwa na uelewa ndio walimtuhumu kana kwamba yeye aliletapendekezo la serikali...
Ndivyo hivyo dunia tunavyotakiwa kuishi japo kuwa inauma unapotendewa vibaya, maana ukisamehe nawe wapata dhawabu nyingi duniani na mbinguni pia. Isiwe jino kwa jino kama inavyotokea sasa duniani hasa mambo ya udini ambayo yana leta mitafaruku hasa mashariki ya kati, Sudani, Afrika ya kati na...
Yaliyotokea zanzibar si ugaidi wala uamsho, ni uislam chuki dhidi ya ukristo. ndugu yangu wewe ni mgumu sana wa kufikiri ni ubwege uliopitiliza kuandiiiika aafu unachoongea pumba tuu, acha kupamba pamba uislam. Hujasikia kuhusu kuchinja kwamba mnajichinjia nyie wenyewe sasa ivi? kwamba...
Ama kweli dini hii kiboko, akiuwawa huyu basi uwa huyu sio kabisa kwa hapo haina haja ya mahakama na ni kweli maana vyombo vya sheria ndio maana vinakaa kimya nasema ipo siku kitaeleweka tuu. Mtu akikuvumilia kwa uboya wako usidhani kakuogopa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.