Recent content by saidry

  1. saidry

    JamiiForums Tanzania Msaada: Channel zimefutika kwenye king'amuzi cha startimes

    Hello,naombeni msaada ndugu zangu..king'amuzi cha startimes channels zimefutika..zmebak channel zao za matangazo pamoja na tv1 tu..nafanyaje kuzirudisha??nmeshafanya search lakini zinarudi hzo hzo,naombeni msaada mwenye uelewa
  2. saidry

    JamiiForums Tanzania Nimeshatuma maombi EWURA

    wote mmekimbilia stores cum administrative officer...hakuna wakemia humu
  3. saidry

    JamiiForums Tanzania Noamba msaada jinsi ya ku-root Huawei y300

    Hv kuroot ndo nn??
  4. saidry

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nafasi za hostel NIT

    ukitaka namba za dalali utanicheq nikupatie
  5. saidry

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nafasi za hostel NIT

    chumba kzr ni elfu 50 kwa mwez...hostel za nje ya chuo,nying ni laki mbili kwa semester
  6. saidry

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    SOMBE EMMANUEL..amepata
  7. saidry

    JamiiForums Tanzania Niwatie moyo (selected/notyet/cheking in progress) na jina halionekani

    nuni imam suleiman....MZUMBE
  8. saidry

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    0752 846841 & 0685 645615,,tutaftane kwny namba hzo pale ninsapokosekana huku kwny JF
  9. saidry

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    usimdharau ucyemjua..ok mi ni mlinz NIT bt nataka kusaidia vijana wenzangu waelimike wapate kaz bora wanitoe kwny ulinzi..wewe usiye ht na hyo kaz ya ulinz kinakuwasha nn..mbn baba ako anakusomesha kwa kaz yake ya kuzibua vyoo husemi..unaona walinz tu
  10. saidry

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    karibuni
  11. saidry

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    majina yatatoka soon..chuo chetu huwa kinachelewaga kutoa majina...ila mda upo coz chuo kinafunguliwa mwez wa 11 tar 14..nadhan next wk mzigo utakua ready
  12. saidry

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    acha dharau
  13. saidry

    JamiiForums Tanzania wadua aliye ckia post za university of iringa ,NIT,na stefano moshi memorial university college

    ondoen shaka..mi nipo NIT naingia 2nd yr..ht mwaka jana tulingoja sana..ndo inakuaga hvo kwa chuo chetu na mda upo sana coz tunafungua chuo mwez wa 11 tar 14..karibun NIT
  14. saidry

    JamiiForums Tanzania Kubebana ni kitu gani?

    ukipata wa kubeba mbebe..maisha ya chuo ni kusaidiana...huez jua utaembeba atakusaidia nn huko mbelen..ila msitofautiane tabia..na muwe wawazi wa mnavovipenda na mcvovipenda kabla hamjakubaliana kubebana
  15. saidry

    JamiiForums Tanzania Vyuo kadhaa kutoa majina ya waliodahiliwa muda wowote

    chuo kipo mabibo...mwendo wa dk 10 km kutoka ubungo(kwa miguu)...dk 10 kwenda manzese so tupo centre ambapo huduma zote zipo...khs mkopo hawazngui..pia inategea na course ulochagua...karib NIT
Back
Top Bottom