Recent content by saidi yakoub

  1. saidi yakoub

    Msaada: Mwanaume wa miaka 20 na zaidi kuwa na matiti

    Jee ndugu hiyo upasuaji wake wanafanya hospitali zipi kwa hapa tanzania na gharama yake ni shilingi ngapi?
  2. saidi yakoub

    Msaada: Mwanaume wa miaka 20 na zaidi kuwa na matiti

    Mimi nauliza tatizo la mwanaume kuanzia miaka 20 na kuendelea kuwa na maziwa linasababishwa na nini na jee tiba yake ni ipi ili yaondoke hayo matiti
  3. saidi yakoub

    Mnaotumia Airtel kwa matumizi ya Internet mtuambie ina kasi gani?

    Mimi natumia airtel huwa nadownload movie moja ya gb 1 kwa dakika 20tu kama hizi nyimbo za mb 5 naweza kupakua hata mia kwa nusu saa
  4. saidi yakoub

    Rhohingya kuna nini????

    Bangladesh hawajafukuzwa hao walohingya tatizo ni kwamba wameelemewa sana na wakimbizi kwa hiyo wameshindwa kuwahudumia wote ndio maana wakafunga mipaka kama unavyoona waarabu wanavyokwama ugiriki kwenda ulaya
  5. saidi yakoub

    Rhohingya kuna nini????

    Rohingya wanaishi magharibi ya nchi ya myanmar kwenye jimbo la rakhine state
  6. saidi yakoub

    Rhohingya kuna nini????

    Jeshi ndio lenye nguvu zaidi myanmar
  7. saidi yakoub

    Rhohingya kuna nini????

    Sio itakuwa kama Rwanda ilishawahi kuwa kama Rwanda kama unazikumbuka movie za rambo zile zote ni hali halisi jinsi ilivyokuwa Myanmar hapo nyuma
  8. saidi yakoub

    Rhohingya kuna nini????

    Mabudha ni wenye nchi ya myanmar wapo karibu 95% ya watu wote myanmar
  9. saidi yakoub

    Rhohingya kuna nini????

    Ni jamii ya mabudha walio wengi nchini myanmar ambao wamepanga kukifuta kizazi chote cha jamii ya walohingya walio wachache
  10. saidi yakoub

    Hivi Malaika huzaa na kufa pia?

    Mwaka juzi alidondoka malaika london kwa hiyo unaweza kwenda kumuuliza zaidi swali lako
  11. saidi yakoub

    Biashara ya kusafirisha abiria

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nauliza kama una basi moja la yutong linaenda safari za dar to songea faida yake kwa siku ni shilingi ngapi ukitoa pesa ya mafuta na matumizi mengine na zipi changamoto zake
  12. saidi yakoub

    Uturuki kuivamia kijeshi syria na iraq

    Tatizo waturuki ni wababe sana
  13. saidi yakoub

    Uturuki kuivamia kijeshi syria na iraq

    Jeshi la uturuki lipo mpakani mwa syria na iraq ambapo linafanya mazoezi ya nguvu. Sababu ya kufanya hivyo ni kutopenda kufanyika kwa kura ya maoni ya jimbo la wakurdi wanaotaka kujitenga kutoka serikali kuu ya mjini bagdad.Uturuki inaona kutangaza uhuru kwa jimbo hilo ni kuchochea machafuko...
  14. saidi yakoub

    Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

    Kwa pesa hiyo huwezi pata yutong tatu mkubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. saidi yakoub

    Kijiswali

    a)Kwa nini bondia kama floyd mayweather hajawahi kupigana na mabondia kama Anthony Joshua,Vladimir Klichko,David Haye,Amri Khan, David Chisola b)Na huu mchezo huwa unapiganwa vipi maana katika hao wote utasikia ni bingwa wa dunia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom