Ke siku hizi choka mbaya ,wapo ke wana bidii zao ,toto mpaka unampa hela bila yy kuuliza ,alafu Kuna hawa vilaza ke wengine ,chupi ,kiberiti ,sijui gas ,mara nywele ,mara viatu ndani ya mwezi unakuta jamaa wengi hata akiba hawana ,wanaume tujifunze kuwekeza pesa kwa biashara sio kukimbiza tundu...