Recent content by Said Bagaile

  1. Said Bagaile

    Star Tv - Tuongee Asubuhi: Muungano una nafasi gani katika Katiba Mpya?

    Mkuu, ndio maana nimesema, mfumo wa serikali 2 una faida kisiasa kwa viongozi waliopo madarakani na sio kwa mwananchi wa kawaida. Na kuwapa viongozi wa Zanzibar madaraka huku Tanganyika, ni rushwa ya kuwafanya waendelee kuukubali muungano na kuweza kuwalazimisha wazanzibari wenzao waukubali, kwa...
  2. Said Bagaile

    Star Tv - Tuongee Asubuhi: Muungano una nafasi gani katika Katiba Mpya?

    Huu ni Ukweli toka moyoni; Mfumo wa serikali 3 utavunja muungano. Mfumo wa Serikali 2 Unapendwa na viongozi waliopo madarakani lakini hauwasaidii bali unawapumbaza Wazanzibari ili waendelee kuukubali muungano. Lakini ki- Ukweli serikali 2 sio mfumo sahihi. Hata viongozi waliopo madarakani...
  3. Said Bagaile

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

    Sio Ukoo wa Mapanya huyu. Elimu yake inamtosheleza na kumfanya asijipendekeze.
  4. Said Bagaile

    Wito kwa Bunge la Katiba: Kura iwe ya Siri kwasababu Hakuna aliyetumwa na Watu Kuwawakilisha!

    Kwa hiyo bado litabaki kuwa ni la CCM ili kuwatisha wale waoga ambao wanaotaka serikali tatu wasipige kura kuunga mkono kwa kuogopa kibano baada ya kupiga kura.
  5. Said Bagaile

    Kadi za CHADEMA zagombaniwa chuoni

    Una utani na Lukosi wewe, umekosa sehemu ya kumtukania, ukapenyeza tusi lako kwenye thread hii.
  6. Said Bagaile

    Mwenyekiti wa ACT ni katibu wa ADC

    Kama ni chama makini mbona hujitoi huko kwenye dushelele la Mwigulu ukajiunge nao?
  7. Said Bagaile

    mwenyekiti wa serikali ya mtaa CHADEMAakatwa mapanga

    Zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM!!!!
  8. Said Bagaile

    Kiwanja kinauzwa maeneo ya Mbezi Golan

    Shilingi ngapi?
  9. Said Bagaile

    Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bumbuli asimamishwa uongozi

    Hataonewa mtu na wala hataachwa mhalifu. Full stop!
  10. Said Bagaile

    Dr. Slaa: Daftari la wapiga kura liboreshwe kabla ya kura ya maoni!

    Mnajua mnapokuwa mnataja kuboresha daftari la wapiga kura kila wakati mtafanya choo cha Mwigulu kijae baada ya muda mfupi? Maana kila anaposikia watu wanataka maboresho lazima jamaa liende kuharisha! Linajua siku zake na Ugaidi lililofanya lazima likapate mume Segerea na kutatuliwa marinda.
  11. Said Bagaile

    Le mutuz akijirusha na teenagers ndani ya after xul bash

    Ila tuache utani, jamaa ana Umbo la watu niliowazowea kuwaona pale Mirembe.
  12. Said Bagaile

    Zitto Kabwe, Hayo ndio maazimio ya Bunge ambayo Werema anakwepa kueleza utekelezaji wake

    Yeye si amesema kwamba ana majina ya wenye fedha Uswis? Tunachotaka toka kwake ni atutajie tu hayo majina. Simple. Kama hana atuombe msamaha kwa kutudanganya kwa muda wote kuwa anayo majina ya walioficha hela Uswis,
Back
Top Bottom