Nilipata bahati ya kuishi Iringa katika miaka mingi tofauti na hizi hapa chini ni sehemu nilizo wahi kuishi na aina ya maisha niliyoyafurahia 2003 - niliishi Iringa Don Bosco nikiwa Mwalimu wa kujitolea shule ya Mawelewele Secondary. Yalikuwa ni maisha mazuri mno katika nyumba ya kupanga ya bibi...
Nashukuru kwa taarifa fupi, mimi sio mwanachama wa chama chochote cha Siasa Tanzania ingawa bado nina mapenzi kwa mbali na CCM. Naomba nikuweke wazi kuwa hakuna /wala haikuwahi kuwepo nafasi ya mtaalamu wa IT UNHCR kanda ya Africa kama ulivyomnukuu Mh.Dk Slaa. Kabla ya kuandika fanya utafiti...
..tunaichagua CCM sio kwa sababu ya sera zake nzuri bali kwa uwezo wao wa kujipanga, kuvumiliana na kuonesha ukomavu katika mambo yanayohusu maslahi ya chama chao.... CDM wont be my choice kama hali hii iliyoanza itaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.